Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 25,585
- 76,359
CCM imejijenga kuwa chama cha kisiasa chenye historia ndefu na mchango mkubwa katika kuleta maendeleo ya kijamii, kisiasa, na kiuchumi. Watu wengi nchini wanaona kuwa CCM imeleta amani, umoja, na utulivu tangu nchi ipate uhuru mnamo mwaka 1961. Kwa hiyo, upendo au kuunga mkono CCM unaweza kuwa na msingi wa kihistoria kutokana na mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa chama hiki.
Nimefanya utafiti wangu ndani ya mwaka mmoja na nusu. Na nimezunguka Mikoa, Wilaya, Kata, Mitaa na Vijiji. Nilikuwa nimeandaa maswali kadha wa kadha ya kisayansi.
Vyama vilivyohusishwa katika utafiti huu ni:-
Lengo kubwa ilikuwa ni kujua aina ipi ya watu wanakipenda chama fulani. Kwahiyo Utafiti wangu ulikuwa wa kisayansi zaidi.
Nilitembelea vijiji na mitaa 10,715, Niliweza kuwafikia watu 25,7638
Taarifa zangu zilikuwa za kiutafiti zaidi.
90% ya Mikoa niliyopitia Watu wenyeshughuli zao, wakulima, bodaboda, Machinga, Wanazuoni na wasomi mbalimbali walionekana kuipenda CCM kwa Dhati.
20% Ya wale walioonekana kupendelea vyama vingine, walisema wanakata tamaa kutokana na kukosekana kwa malengo ya dhati katika vyama hivyo.
Data Zote nitaziweka hapa nitaweka data source ya excel ili na watafiti wengine waweze kuzitumia data hizo.
Karibuni

- CCM
- CUF
- CHADEMA
- ACT Wazalendo