Mnakwenda hata nyumba za kulala wageni sio lazima hapo ndani kwenu, hahahahahahaahahaMaandalizi sho yenyewe nyumba za kupanga arifu?Chumba kimoja watoto wamelala unapiga cha fasta fasta wasiamke,maandalizi siku ya harusi tu bhana sku zingine unapiga cha fasta fasta!