UTAFITI: Ukweli kuhusu watumiaji wa JamiiForums

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
772
1,516
Kama mtu ambae napenda kufanya research, Kutokana na utafiti (si utafiti wa kisayansi kwa 100%) nilioufanya nimegundua kuwa wengi wa member wa JF huamini ndivyo sivyo kuhusu member wenzao.

Baadhi wamekuwa wakiamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu wa kipato cha chini lakini hujikweza kuwa wanakipato kizuri, wengine huamini kuwa asilimia kubwa ya member ni watu ambao wanaelimu za kawaida ila wengi hujifanyaa wana shahada kutoka vyuo mbali mbali.

Lakini mimi nimekuja kugundua kuwa hayo yote yapo kinyume.

Frankly, ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya watu wa JF wapo vizuri na wala hawajikwezi kama ambavyo tunadhani.

Huu ni ukweli nilioupata
70% wapo kwenye ajira au wanafanya biashara fulani na kipato chao kinakidhi mahitaji kwa kiwango ridhishi.
60% wanaelimu ya kuanzia kidato cha sita na kuendelea.

55 % Hawatumii au si wapenzi wa mitandao mingine kama facebook, instagram na tiktok (lakini hutumia mtandao wa X)

80% wana ndoto za kukuza au kuanzisha biashara kubwa.

You may, of course, wondering How did I Find this? here is How!

Bila wao kujua nilikuwa nauliza maswali watu kadhaa Kuhusu mtandao wa Jamii Forums Kama ifuatavyo:

POPULATION 1; watu walio ajiriwa au kuwa na kipato cha kati.
sample;watu 20.
Matokeo;
-
watu 17 kati ya 20 kwenye kundi hili wanaufahamu mtandao wa Jamii Forums.
  • Watu watu 3 kati ya 20 hawaufahamu wala hawajawahi kuusikia mtandao wa Jamii forums.
  • watu 14 kati ya 20 katika kundi hili wanautumia au walishawahi kuutumia mtandao wa Jamii forums
  • 6 kati ya 20 hawautumii na hawajawahi kuutumia, ambapo watatu kati yao walishawahi kuusikia mtandao wa Jamii Forums
Population 2; watu wasioajiriwa au walio na kipato cha chini
sample; watu 20

Matokeo;
-
16 kati ya 20 kwenye kundi hili hawaufahamu na hawajawahi kuusikia mtandao wa Jamii Forums.
  • 4 kati ya 20 wanaufahamu au walishawahi kuusikia mtandao wa Jamii forums
  • 2 kati ya 20 wanautumia au walishawahi kuutumia mtandao wa Jamii Forums
  • 18 kati ya 20 hawautumii au hawajawahi kuutumia mtandao wa wa Jamii forums

Population 3; wenye elimu ya kuanzia darasa la saba hadi kidato cha nne.
Sample; watu 20
matokeo

  • 8 kati ya 20 wanaufahamu mtandao wa Jamii forums
  • 12 kati ya 20 hawaufahamu mtandao wa Jamii forums
  • 6 kati ya 20 wanautumia mtandao wa jamii forums
  • 14 kati ya 20 hawautumii mtandao wa jamii forums

population 4; wenye elimu ya kidato cha sita, stashahada, shahada na kuendelea.
sample; watu 20
matokeo;

  • 16 kati ya 20 wanaufahamu mtandao wa Jamii Forums
  • 4 kati ya 20 hawaufahamu mtandao wa jamii forums
  • 14 kati ya 20 wanautumia au walishawahi kutuutumia mtandaowa Jamii forums.
  • 6 kati ya 20 hawautumii au hawajawahi kuutumia mtandao wa Jamii Forums
HITIMISHO
Asilimia kati ya wastani wa 70% ya watumiaji wa mtandao wa Jamii forums ni watu wenye kipato cha kati au zaidi, walioajiriwa na walio na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea huku wastani wa 30% ni kinyume cha hayo.

Swali ni Kwanini 94 % ya watumiaji wa mtandao huu hawatumii utambulisho wao halisi?

By;Powell Gonzalez Powell Gonzalez
 
420281020_10230008556705557_3542413074853268294_n.jpg
 
JF ni chaka la maana sana. Bila hii ningekutana wapi na kaka mzuri mimi? Hata katika maisha ya kawaida sehemu anazoenda sikanyagi... kwa kipi? Ni Mungu tu.

Naunga mkono hoja 100%
nimecheka kwa sauti nani the bold au who else?
 
Nihoji na mimi basi, nipindue matokeo....
 
Back
Top Bottom