Quarterpin
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 1,253
- 1,083
Usitudanganye bana, mambo ya michepuko yako Africa, wazungu michepuko hakunaga hizo habar kabisa. Nyie mnaangalia porno mna conclude wale ni proffessional katika industry ya porn. Kukuta mzungu anashoboka hovyo hovyo hayo mambo sahau, unaweza kuwa hata mnasoma darasa moja, au mko katika engagement flani, ukikutana nae sehemu anaweza kukupita kama hakujui vile, hata wao kwa wao, sio watu wa kushabikia strangers. Yan hata akitoa katabasamu ka kizushi ujue amejitahid sana, kifupi hawana muda na mtu.