Utafiti Mpya: Magufuli 82.2%, Lowassa 16%, Wengineo 2%

Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....

Hivi hizi tafiti Bado zipo tu
 
Utafiti wenu wauongo. Kwa mm ninayejua hesabu ni kwamba ukijumlisha 82.2+16+2= 100.2. Wadanganyeni wanaosema ndioooooo kila kitu hata kama ni cha kibwege
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
Lazima JPM kakuona, utatafutiwa kitu serekalini. Ila usisahau kumtengenezea Dr Shein ka kwake nae
 
Wamefanya upendeleo hawa. yaani jamaa yule wa kuzungusha mikono baado anapata kura??

Warudie tafiti zao. Angepata hata chini ya 5%, maana wananchi wametambua wapi walipoteza.
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
Premature and uncalled for an initiative
 
Huu ulikuwa utafiti au ujinga?? Ulikuwa na lengo gani sasa wakati huyu mwingine ni rais, anatekeleza yale alioyaahidi na mwingine hana hata pa kussemea ili apimwe!
Hivi watanzania huwa tuko serious kweli??
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
which MODAL used to test the result? tell us your hypothesis, equation used. sample size, and your research questions.

Plzzzzzzzz, plzzzzzzzzzzz im waiting
 
Completely B.S. Kwa nini kumlinganisha mtu aliyeko madarakani na mtu mwingine ambaye yuko mtaani ambaye haruhusiwi hata kufanya mikutano ya kisiasa? Nani anawatuma hawa watu kufanya tafiti za kijinga namna hii?
 
Kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo Rais wa sasa Ndg. Magufuli angeibuka mshindi kwa kupata zaidi ya asilimia 80. Huku mgombea wa Ukawa angepata asilimia 16. Na wengineo kupata asilimia chini ya 2. Hayo yamesemwa leo na mtafiti mkuu wa shirika la CEDP Ndg. Kasira

Mtafiti huyo, kasema ushindi wa Magufuli ungechangiwa na kasi aliyoanza nayo kitendo ambacho kimerudisha matumaini makubwa sana kwa wananchi wa hali ya chini. Kwa upande mwingine kasi ya umoja wa UKAWA umepungua kwa kiasi kikubwa baada ya muungano wa vyama hivyo kukosa muelekeo na kutokujua la kufanya...

Wananchi wengi 8/10 walio vijijini wameonyesha kuwa na imani kubwa kwa Rais Magufuli. Huku wakiwa na matarajio ya serikali hii ya awamu ya tano kuboresha elimu, afya na miundombinu...

Kwa upande wa mijini. Wananchi wengi wameiomba serikali ya awamu ya tano kushughilikia tatizo la kupanda bei kwa bidhaa na ajira kwa vijana.....
mbona jumla inazidi 100%??

kupika takwimu kaaazi kweli kweli!
 
Completely B.S. Kwa nini kumlinganisha mtu aliyeko madarakani na mtu mwingine ambaye yuko mtaani ambaye haruhusiwi hata kufanya mikutano ya kisiasa? Nani anawatuma hawa watu kufanya tafiti za kijinga namna hii?
Pia unapofanya research inabidi iwe CURRENTLY IMPORTANT sasa sijui hiki ni kipindi cha uchaguzi au ni kutafuta kukumbukwa tu
 
Back
Top Bottom