Mejasoko JF-Expert Member Oct 20, 2019 292 572 Dec 27, 2024 #1 Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza? Attachments Screenshot_20241227-074415.jpg 249.5 KB · Views: 4
moudgulf JF-Expert Member Jan 23, 2017 137,871 733,921 Dec 27, 2024 #2 Hiyo imeshaletwa hapa mara kadhaa imejadiliwa kiasi cha kutosha.
A Aleyn JF-Expert Member Nov 12, 2011 20,727 35,593 Dec 27, 2024 #3 Huyu mzee alikuwa mchawi tu. Toka lini mchawi akajua kesho ya mtu? Mungu pekee ndiye ajuaye. Tusipende kumvika utukufu shetani.
Huyu mzee alikuwa mchawi tu. Toka lini mchawi akajua kesho ya mtu? Mungu pekee ndiye ajuaye. Tusipende kumvika utukufu shetani.
A Aleyn JF-Expert Member Nov 12, 2011 20,727 35,593 Dec 27, 2024 #4 Thread 'Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi' SI KWELI - Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi
Thread 'Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi' SI KWELI - Sheikh Yahya Hussein alitabiri baada ya Rais Mwanamke kumaliza Mihula yake Upinzani utaongoza nchi
CAPO DELGADO JF-Expert Member Aug 31, 2020 7,972 17,421 Dec 27, 2024 #5 YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO. HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO. HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI.
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Dec 10, 2022 4,623 15,603 Dec 27, 2024 #6 CAPO DELGADO said: YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO. HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI. Click to expand... Hapo sawa,maana la upinzan kuongoza nchi muda wake bado sana Siku katiba ikibadilishwa na kukawa na tume huru,hapo kidogo huenda upinzan wanaweza kufanya kitu
CAPO DELGADO said: YALIYOSEMWW YOYE NI KWELI KASORO WAMEONGEZA KIDOGO HAPO. HAKUTABIRI KABISA KUHUSU UPINZANI KUCHUKUA NCHI. Click to expand... Hapo sawa,maana la upinzan kuongoza nchi muda wake bado sana Siku katiba ikibadilishwa na kukawa na tume huru,hapo kidogo huenda upinzan wanaweza kufanya kitu