Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

G - The Apostle

JF-Expert Member
Apr 24, 2023
574
1,093
Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke.

NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
 
Sasa mbona hakuna utabiri hapo. Wabongo wote waliotoka BBC waliishia TBC, Azam, au serikalini!

Na siyo EFM Radio.
 
Salim Kikeke akipewa hiyo nafasi nchi itaingia kwenye conflicts kama siyo ya kikatiba na kisheria basi ni ya kidiplomasia

Siyo raia wa Tanzania , that was great mistake wabadiaspora inayotuponza. Angekuwa raia wa Tanzania mambo yangekuwa njululuuu

Kumiliki kwake hati ya kusafiria ya Uingereza kuna mweka kwenye mashaka ya kuutumia hi kwa sababu siku serikali ikimkataa au akabainika kwa kujua au kutokujua amedukuliwa na nchi ambayo yeye ni raia Tanzania itashindwa kumkamata kwa sababu nchi yake itasimama kumtetea.

Juzi kuna kisa kimetokea airport ambapo raiwa wa Uingereza Mdogo wetu Mlowe alizuiliwa kuingia Tanzania. Diaspora tukabwabwaja kumbe mamlaka zinamjua na kwa sasa wamemtema

Tunapoamua masuala nyeti kama uteuzi lazima vetting iwe kali sana. Isitoshe Taifa lina watu milioni sitini hakuna namna tutakosa wakumteua
 
Diaspora tunataka kazi home ila tulishakataa kwamba sisi siyo Watanzania kwa lengo la kupata maslahi na nafuu ya kodi huko Abroad

Sasa hivi nyumbani pamenoga acha tuendelee kuingia na visa kwani ndiyo maisha tuliyochagua
 
TZ unalala ukiwa na mashaka mashaka, ukiamka asubuhii na cheo ulicho nacho unaahukuru. Ila teuzi za mara kwa mara ni ishara ya walakini katika voting system
 
Kina kitenge na mwijaku nao watalambishwa lini asali chawa wale waliotukuka? Mkeka wa ma dc ujao huenda nao wakalamba asali. Au wajitose kwenye kura za maoni kuomba kuchaguliwa kwenye ubunge kupitia chama chao
 
Back
Top Bottom