kuzatika nimekuelewa.......
hii jamaa kafanya uhalifu lakini ipo kwenye mapenzi ni sawa na ile ya hakimu mlawiti ipo kwa celeb inatuharibia kuona celeb wetu...
We ******, hiyo kufungiwa watu wanne ni kiini macho tu...soln ni kuwa, hii thread ina belong kwenye jukwaa la dini..period!!! Kinyume cha hapo ni udini, upumbavu na usenge!!
Lugha chafu siachi...taarifu mods waje kuni-ban! Thank you..
Kuna jukwaa la dini, hii thread ina belong huko...sasa chepi ni kigumu hapo!??
Alichofanya ustaadhi kinafanywa na ma-pastor, ma-reverend including JF's Kishoka na kadhalika (kwa jinsi ambavyo siipendi hiyo tabia, jamaa kama angekuwa kamfanyia mwanangu ningemtwanga risasi ya kichwa)... mada imepindwa kidini hivyo basi ikakae kwenye jukwaa la dini na wale wenye vibali kama **** Mag3 wakajibwede!!
Chepi kisichoeleweka hapo!?
Kubaka mtu ni mapenzi!? hii mpya...that $hyt is a crime na hakuna mapenzi hapo! Tatizo ni kuwa topic nzima badala ya kuongelea makosa ya hilo njemba (ambalo kwasababu moja au nyingine ni muislamu na ustaadhi), watu wanatumia ukumbu huu kukashfu dini za wengine as if uislamu unahubiri waumini wake wakabake/kutongoza vitoto!! Sasa basi kama kuna hiyo religious slant ktk hii crime basi topic ihamishiwe kwenye jukwaa la dini na wale wenye vibali/kutaka kuyaona na kuchangia wajiridhishe!!
Ktk hii crime story hakuna mapenzi...na kama unadhani hii topic ni ya mapenzi basi wewe chizi!!
Itabidi tumuulize ustaadhi, niaje, dini, ngono vyawa pamoja.
Mada hii siya kidini bali ni ya kimapenzi. Tatizo, katika uislam dini na ngono ni kitu kimoja. Hivi hujuwi kuwa mkifa mtapewa mavajini 72? Sasa mavajini ni dini au mapenzi?