Aisee wengi ni wanafki, bora kutemana nao ubaki na wachache cuz wakiwa wengi hutomjua mnafiki wako ni yupiNa hao hao unawao wasaidia ulifilisika wana kucheka na wengi hutamani muwe sawa ktk maisha. Kikubwa no kuwapunguza km anavyosema mkuu
Ubaya Ubaya tu.
Panya wengi hawachimbi shimo mkuu....umenikumbusha jambo moja la maana sana aisee....nilijifunza kuwa mafanikio ya mtu yapo mikononi mwa watu...nadhani ukizungukwa na watu wasio na mawazo ya kimaendeleo wote wewe na wao hamtoendelea kamwe.
Sasa watu deile unawapa noleji ikiwa hawajawahi hata siku moja kukupa pande, inamaana gani???Wewe ndie mwenye Makosa, unajua kabisa alafu unapotezea, rejectionalism inakurudi, sasa wewe ndiye muamuzi , weza uendelee au uache , its u