Usithubutu kamwe kuandikisha hati ya nyumba, gari au kiwanja kwenye majina ya mke wako it will end in tears

Kama mwanamke ni dhaifu si wewe uliyezaliwa naye ni dhaifu zaidi? Haiwezekani utokane na kiumbe dhaifu halafu wewe uwe better. What you are saying it simply means you are an oppressor to your wife. Kama wewe siyo dhaifu kwa nini ung'ang'anie nyumba? Si ungeweza kumwachia akaishi na watoto humo wewe ukaenda kutafuta maisha mengine na kujenga nyumba mpya. Kwangu nyumba si kitu. Muhimu ni kuishi pamoja kwa upendo na kuleta watoto kama Mungu kawajalia hivyo. Udhaifu wa mwanaume hatuwezi kuwa katika kuwa na joint property na mke wake. Mimi mtu dhaifu ni yule anayeishi na mke wake kama an instrument of pleasure and you can damp her when you think you no longer need her. Huo ndio udhaifu mkubwa
Mkuu marriage sio economic venture between a man en a wife sioni sababu ya kuanza kugawana mali na mtu ambae amekuja kwa ajili ya kuolewa tu, na mimi sina interest na mali zake, sio udhaifu ni just kua principled katika maisha yako. "Wives are not meant to be business partner"
 
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate.

Huyu jamaa wetu baada ya kukubwa na matatizo ya madeni ya TRA na benki kwa mda mrefu akaamua kubadili mali zake muhimu kuweka kwenye majina ya mke alio kaa nae takriban miaka 19, ili kuzinusuru kushikwa au kutaifishwa na TRA.

Alifikia hatua akamua kuuza moja ya prime property ili alipe madeni yote na abakize na mtaji kuendelea na biashara, sasa kinacho mkumba ni mwanamke amekata kata kata kuuza mali yake anadai ni mali za watoto kwamba yeye atakufa mda wote bila kuachia mali yoyote.

Jamaa amechanganyikiwa kashauriwa na wana familia yake hana la kumfanya zaidi ya kumuendea kwa mganga wa kienyeji, kigoma au sumbawanga

Sasa we kijana umeajiliwa miaka mitano unaanza kumuamini mke wako mpaka unanunua ki-plot kwenye majina yake jua wewe ni fala tu. Na utakufa depressed, mke mpe kitu ambacho hutakipenda tena hata siku moja in short "give a wife what you can afford to lose".........
sasa mbona mimi tiyaRi nishamuandikisha jana vyote? tinafanyaje?
 
Tusiokuwa Mali tunaenjoy sana, naona kizazi cha leo mali siyo baraka tena mali imegeuka laana.

Inasikitisha kwakweli, hivi kwa nini watu wasiweke willing zao Rita? Mbona vitu simple sana?
Nakuunga mkono usipo kua na mali u aishi kwa amani sanaa kuliko wenye mali la muhimu ni kua na uwezo wakupata basics za maisha, nina rafiki yangu ana gari bmw imewaka taa zote kwenye dash board hawezi kuendesha tena, wakati sisi wenye corana it tunapeta tu.
 
Mkuu topic zako zipo negative sana kwenye ndoa! Kimsingi nyumba ya familia (matrimonial house) inafaa iwe na majina ya pamoja ili mke asijione mgeni, au hana lake kikinuka. Jambo la muhimu ni mwanaume uwe na vihela vyako akiba mahali. Gari na nyumba ya kuishi visitutoe roho
 
Mkuu naona hujanielewa nyumba alie kua anaiuza sio ile ya familia walio kua wanaishi hapana ilikua ilikua ya biashara katika main road.
 
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate.

Huyu jamaa wetu baada ya kukubwa na matatizo ya madeni ya TRA na benki kwa mda mrefu akaamua kubadili mali zake muhimu kuweka kwenye majina ya mke alio kaa nae takriban miaka 19, ili kuzinusuru kushikwa au kutaifishwa na TRA.

Alifikia hatua akamua kuuza moja ya prime property ili alipe madeni yote na abakize na mtaji kuendelea na biashara, sasa kinacho mkumba ni mwanamke amekata kata kata kuuza mali yake anadai ni mali za watoto kwamba yeye atakufa mda wote bila kuachia mali yoyote.

Jamaa amechanganyikiwa kashauriwa na wana familia yake hana la kumfanya zaidi ya kumuendea kwa mganga wa kienyeji, kigoma au sumbawanga

Sasa we kijana umeajiliwa miaka mitano unaanza kumuamini mke wako mpaka unanunua ki-plot kwenye majina yake jua wewe ni fala tu. Na utakufa depressed, mke mpe kitu ambacho hutakipenda tena hata siku moja in short "give a wife what you can afford to lose".........
Hawa wake mnaoaga kutoka wapi kwani hadi wanaachia tears?
 
Hao wanawake wa hivi huwa mnawapa wapi? Natamani sana angalau mmoja wa kunipa mastress maana nahisi nitakua nina low blood pressure.
 
Ukingia kwenye mapenzi deep na mke wako jitahidi kuingia na moyo wako pamoja na akili zako ukiingia na moyo bila akili you end up in tears, stressed en desperate.

Huyu jamaa wetu baada ya kukubwa na matatizo ya madeni ya TRA na benki kwa mda mrefu akaamua kubadili mali zake muhimu kuweka kwenye majina ya mke alio kaa nae takriban miaka 19, ili kuzinusuru kushikwa au kutaifishwa na TRA.

Alifikia hatua akamua kuuza moja ya prime property ili alipe madeni yote na abakize na mtaji kuendelea na biashara, sasa kinacho mkumba ni mwanamke amekata kata kata kuuza mali yake anadai ni mali za watoto kwamba yeye atakufa mda wote bila kuachia mali yoyote.

Jamaa amechanganyikiwa kashauriwa na wana familia yake hana la kumfanya zaidi ya kumuendea kwa mganga wa kienyeji, kigoma au sumbawanga

Sasa we kijana umeajiliwa miaka mitano unaanza kumuamini mke wako mpaka unanunua ki-plot kwenye majina yake jua wewe ni fala tu. Na utakufa depressed, mke mpe kitu ambacho hutakipenda tena hata siku moja in short "give a wife what you can afford to lose".........
Una Point nzuri sana.Utaraibu Rahisi Wakumpa mke mali ni kuziweka kwenye TRUST FUND
 
Back
Top Bottom