ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,394
- 4,898
Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua.
Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata masoko, mashamba, viwanja vya ndege, mbuga, hifadhi wanapewa wageni. Na sisi kwakuwa hatujielewi basi tusubiri
Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata masoko, mashamba, viwanja vya ndege, mbuga, hifadhi wanapewa wageni. Na sisi kwakuwa hatujielewi basi tusubiri