BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,424
Hii nakupa tu ushauri wewe unayetaka kumiliki gari lako na lisikupe mawazo ya kuonana na mafundi Kila siku.
Asilimia 85 ya magari used Tanzania mmliki huuza kwa Sababu gari linamsumbua, asilimia.
Asilimia 10 tu huuza gari kwa Sababu ya changamoto za kimaisha.
Asilimia 5 tu ndiyo huuza gari Ili wanunue gari lingine.
Mbaya zaidi mbongo kusema ukwel ni dhambi kubwa kwake atakwambia hii gari ni kuwasha na kuondoka kumbe yeye anajua shida Iko wap hakwambii.
Ukifika huko unashangaa gar inamatatizo kibao
Nashauri ingiza gar Toka nje kidogo zinakuwa nzima japo ni used, usiogope ushuru kwa Sasa unalipika siyo kuhangaika na gari lililomshinda mwenzako.
Madalali watakuja hapa kupinga huu utafiti wangu lakini mimi Big thinker nimetimiza jukumu langu usije sema sikukwambia