Ungekuwa wewe nani?umfungie!Kweli ni dudeeeee!!!! Ningekuwa Mimi namfungia kanisa lake!!
Kama ambavyo baba askofu gwajima amekuwa akitueleza yeye ni mpole na mnyenyekevu ila once ukimchokoza(kuliamsha dude) basi atakutwanga kote kote.
Stay tuned..YouTube channel ya kanisa la ufufuo na uzima itawaka moto jpili hi i twende na gwajima basi.
Amen.