Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya, Jipe muda

Ni ukweli usiopingika ila mara nyingi inatokana na kutaka kukomoana kwamba anione kaniacha nimepata mwingine bila kujipa muda wa kukaa na kufanya chaguo lililokuwa bora.
Ndo hapo unapojikuta umeangukia kwenye mikono ya shetani
 
lakini utajuaje kama huu ni mda sahihi sasa wa kua na mtu hata baada ya huo mda
Utajua pale .kwanza utakapo tambua thamani yako, mapungufu yako,aina ya mpenz/,Mchumb aumtakaye......na kwa kutuliza akili yako....
Ndo maana unashauriwa usiwe mwepesi wa kuotoa maamuzi ukiwa na hasira,
Au maumivu, utajikuta unatoa maamuzi ambayo sio sahihi
 
Back
Top Bottom