Usikubali kutumika kutekeleza mabaya

Ndugu zangu nawasalimu,
Naomba niwape maoni yangu kwa ufupi tu.
Tunaishi kwenye familia, jamii, taasisi mbalimbali, makundi rasmi na yasiyo rasmi.
Usikubali taasisi, mtu, watu, kikundi ama familia wakutumie kama chambo chakutekeleza ubaya walioudhamiria kwa mtu/watu/jamii fulani mwishoni watakugeukia na sura ya nyoka.

Watu wengi waliotumika kutekeleza ubaya fulani hadharani/kuzungumza huku wahusika wakuu wakijificha nyuma ya pazia huishia kugeukwa vibaya sana na mizigo ya lawama yote inabaki kwao.
Na huwa si mizigo ya lawama tu, wengine huamua visasi.. Sasa kuna wakati waliokutuma au wanaokutumia huwa wanakuwa hawajulikani (WASIOJULIANA) lakini wewe uloyetumika unafahamika... WATAHANGAIKA NA WEWE...

Na kuna point inafikiwa, waliokutuma wanaona hatari ya kujulikana ipo mbele yao, NA ANAWEZA KUTOA TAARIFA HADI WAO WAKAJULIKANA NI WEWE ULIYETUMIKA, wanakumaliza... HIVYO, ANAYETUMWA HUWA HAYUKO SALAMA.... eidha wanaokutuma watakumaliza au ulikotumwa nao watakumaliza....
 
Na huwa wanakufanyia umafia ili usije kuwaaibisha
 
Ndugu zangu nawasalimu,
Naomba niwape maoni yangu kwa ufupi tu.
Tunaishi kwenye familia, jamii, taasisi mbalimbali, makundi rasmi na yasiyo rasmi.
Usikubali taasisi, mtu, watu, kikundi ama familia wakutumie kama chambo chakutekeleza ubaya walioudhamiria kwa mtu/watu/jamii fulani mwishoni watakugeukia na sura ya nyoka.

Watu wengi waliotumika kutekeleza ubaya fulani hadharani/kuzungumza huku wahusika wakuu wakijificha nyuma ya pazia huishia kugeukwa vibaya sana na mizigo ya lawama yote inabaki kwao.
Na wewe je??
 
Kuna taasisi zimeundwa kisheria au hata kikatiba, miongoni mwa kazi zao ni kutumia watu kusema au hata kufanya kazi chafu, wakati mwingine wakishamtumia mtu wanamtupa kama takataka. Tusiwalaumu sana wanaotumiwa pengine hawakua na hiyari ya kukataa
 
Ndugu zangu nawasalimu,
Naomba niwape maoni yangu kwa ufupi tu.
Tunaishi kwenye familia, jamii, taasisi mbalimbali, makundi rasmi na yasiyo rasmi.
Usikubali taasisi, mtu, watu, kikundi ama familia wakutumie kama chambo chakutekeleza ubaya walioudhamiria kwa mtu/watu/jamii fulani mwishoni watakugeukia na sura ya nyoka.

Watu wengi waliotumika kutekeleza ubaya fulani hadharani/kuzungumza huku wahusika wakuu wakijificha nyuma ya pazia huishia kugeukwa vibaya sana na mizigo ya lawama yote inabaki kwao.
anaejifunza kushauri ila safi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom