Migomba JF-Expert Member Nov 30, 2013 945 1,334 Feb 11, 2016 #21 Yaani kuangalia tu hadi uwe tajiri? Mbona Sijaona hata tajiri mmoja ame-comment labda ameipenda au nice design...
Yaani kuangalia tu hadi uwe tajiri? Mbona Sijaona hata tajiri mmoja ame-comment labda ameipenda au nice design...
mchushi JF-Expert Member Dec 23, 2012 216 98 Feb 11, 2016 #22 Matajiri huwa hawatumii jamiiforums jitambue.....
HIMARS JF-Expert Member Jan 23, 2012 70,480 97,688 Feb 11, 2016 #23 Tajiri anafata kampuni credible kufanya design
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Feb 11, 2016 #24 Ashura9 said: hapo sasa... wanaangalia wasivyoviweza ha ha ha Click to expand... Ashuu eee... ulishafikia humo? Jee nikujengee Kigamboni?!!
Ashura9 said: hapo sasa... wanaangalia wasivyoviweza ha ha ha Click to expand... Ashuu eee... ulishafikia humo? Jee nikujengee Kigamboni?!!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Feb 11, 2016 #25 mchushi said: Matajiri huwa hawatumii jamiiforums jitambue..... Click to expand... Mbona tupo bhanaaa...
mchushi said: Matajiri huwa hawatumii jamiiforums jitambue..... Click to expand... Mbona tupo bhanaaa...
Ashura9 JF-Expert Member Oct 21, 2012 740 485 Feb 11, 2016 Thread starter #27 mchushi said: Matajiri huwa hawatumii jamiiforums jitambue..... Click to expand... kwa hiyo una maana jamii forum hakuna great designers!! mbona unajishusha jamaa!!!
mchushi said: Matajiri huwa hawatumii jamiiforums jitambue..... Click to expand... kwa hiyo una maana jamii forum hakuna great designers!! mbona unajishusha jamaa!!!