Usichokijua kuhusu GOOGLE: Facts zitakazokufumbua macho!!

hizi ndio thread za greater thinker sio wale wanaouliza wakakope wapi wakati mabenki ,saccoss,vikoba kila mahali vimejaa
Humu kuna kila aina ya watu wapumbavu wapo na werevu pia. Ndio maana unaweza ona uzi umekuwa viewed hata mara 200 lakini comments 3, yote katika kupembua pumba na mchele.
Thread constructive kama hizi zinatenda haki kwa hii forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…