silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,984
hizi ndio thread za greater thinker sio wale wanaouliza wakakope wapi wakati mabenki ,saccoss,vikoba kila mahali vimejaa
Thread constructive kama hizi zinatenda haki kwa hii forum.
hizi ndio thread za greater thinker sio wale wanaouliza wakakope wapi wakati mabenki ,saccoss,vikoba kila mahali vimejaa
Kwenye avatar ndo ww???daah. Habari kama hizi huwa zinanisisimua mwenzenu. We acha tu