Usichojua kuhusu makanisa ya kiroho

Soma neno takatifu Na ulielewe... Tatizo mnapenda sana miujiza bila kupata muda wa kusoma neno, Na kuomba katika roho Na Kweli, kufunga Kwa dhati. Acha dhambi uone jinsi MUNGU atakavyokutendea
Wengi wameongea lkn ww umemaliza kila kitu. Maneno yako haya machache ni muhtasari wa vitabu vyote vya dini ya Ibrahim. Mwenye masikio na asikie. Watu wengi hawajui kuwa ukiwa mtiifu kwa Mwenyezi MUNGU waweza jifungia chumbani na kujiombea mwenyewe na ukapokea uponyaji saa hiyohiyo kwa mapenzi ya Mwenyezi MUNGU.
 
Amina umeongea neno lisilogoshhiwa
 
Kanisa linalipa? Asee mungu aingilie kati watu wake wanaangamia kwa kutojitambua
Mkuu ukitaka kutoka ki maisha Fungua kanisa tu. Utapiha pesa mpk uzikatae.
Mwenye kiwanda cha viatu au Nguo hapati faida km mwenye kanisa.
Hilo ni Dunia nzima.
 
Kanisa ni mwili wa mkristo sio jengo sababu RohoMtakatifu hakai kwenye jengo.

Umefeli. Kanisa Ni yote. Yesu aliacha organised institution, kasome mathayo 18:17. Yesu hakuacha Kanisa la hisiahisia. Kaacha Kanisa kama taasisi kabisa. Kasome vizuri uelewe.
 
Si kweli, Katoliki ni wataalam wa mapokeo
Safi kabisa. Ata bibilia Ni matokeo ya mapokeo ya Kanisa katoliki. Mapokeo matakatifu hayakatazwi mkuu, kasome waraka wa 2 wa Paul kwa watesalonike 2:15. Kanisa la kweli halikurupuki Roho Mtakatifu yupo na anaendelea kulifunza toka ile siku ya pentekoste na kamwe hatoliacha.
 
Na mm ni hivyo hivyo naendaga karismatiki AGAPE mbezi kibanda cha mkaa nabarikiwa sana na hamna cha kudaiwa pesa na watu wanapona.
Ata hiyo karismatiki Ni tatizo, kwasababu Ni kakikundi cha kipuuzi cha kilokole ndani ya Kanisa, kanahangaika na mapepo na uponyaji hewa wa watu wasiotaka kufata mafundisho halisi ya Kanisa kama kitubio, rosary nk. Ni ka kundi cha kulialia na kupiga makelele hovyo kila wiki.
 
Kula tano binti mzuri!
Msijidanganye kusoma bibilia wenyewe na kuvuta hisia utafunuliwa. Ni wendawazimu ulioanza kwa martin Luther, na imekatazwa kwenye bibilia kitu Inaitwa private interpretation.2 Peter 1:20. Mimi huyo Dada na we we tukisoma paragraph moja ya bibilia na kila mtu akae ajifanye anamskilizia Roho Mtakatifu utashangaa kila mtu anakuja na tafsiri yake. Swali Ni je kama Roho Ni huyo huyo kwa nini tutofautiane?
 
Math 7:21-23 ,ukisoma utagundua hawa kina tb Joshua ,gwajima sijui nani hawatakusumbua kichwa
 
Acha tu ndg yangu, nlienda kwa mzee wa ipako nlisukumwa pale madhabahuni na zile tiles zinavyoteleza mpaka nikaanguka, nafight kunyanyuka ndo anazid kunikandamiza huku wanaonishika wananilazimisha kufumba macho ili nikose balance.
Ungevumilia tu dawa iingie.
Ndio ukubwa huo.

Walikutoa Shs ngapi za maombi?
 
Kipindi hiki cha mwisho mtayumbishwa sana na hayo makanisa yanayojiita ya kiroho.Soma Mathayo 24 upate ufahamu ujitenge na hso manabii na makanisa feki.
 
Ata hiyo karismatiki Ni tatizo, kwasababu Ni kakikundi cha kipuuzi cha kilokole ndani ya Kanisa, kanahangaika na mapepo na uponyaji hewa wa watu wasiotaka kufata mafundisho halisi ya Kanisa kama kitubio, rosary nk. Ni ka kundi cha kulialia na kupiga makelele hovyo kila wiki.
Kuanzisha karismatiki na vikundi vingine kama Fellowship na faragha ndani ya kanisa ni Uhaini maana mwisho ndiyo mwanzo wa vihuduma au vikanisa kuibuka ovyo mitaani kwa majina ya manabii na mitume nk
 
Kuna jamaa yangu kafungua Kanisa lake Mburahati ananiambia alikuwa anapoteza muda tu kwenye biashara. Kanisa linalipa sana.
Usidanganyike kwamba kufungua kanisa ni kama kufungua casino au danguro na kupata pesa kama Biashara Malaya
 
Usidanganyike kwamba kufungua kanisa ni kama kufungua casino au danguro na kupata pesa kama Biashara Malaya
Hayo ya malaya na casino umesema wewe, rafiki yangu wakati anafungia kanisa lake Mburahati wala akuniambia hayo anakiri mwenyewe anapiga pesa.
 
Hayo ya malaya na casino umesema wewe, rafiki yangu wakati anafungia kanisa lake Mburahati wala akuniambia hayo anakiri mwenyewe anapiga pesa.
Sasa subiri mwisho wake itashuhudia mwenyewe, kila kosa utalilipia mpaka senti ya mwisho, Mungu siyo wa kumchezea unavyotaka, kumbuka Yesu alisema sikumbuki kwenye mstari wa kitabu gani kwenye bible ninamnukuu, "Muogopeni yule anayeweza kuangamiza vyote viwili, roho na mwili"
 
Sikatai kwamba hakuna wahubiri waongo ila kuhusu RC hapo hunidanganyi maana ni weupe ktk mambo ya kiroho maana hata mimi nilikuwa huko ukitaka wahubiri wa kweli nende kwenye hayo makanisaa ya kiroho japo wahubiri wa uongo wako hukohuko na ukitaka mapokeo baki haphapo RC
Hivi makanisa huwekwa na Mungu au binadamu. Ni kwa nini binadamu hawasemi kitu kilekile kuhu Mungu?
Ukifikiri sana utagundua kuwa vitu vingi vina exist katika mind ya binadamu hata sehemu kubwa ya uponyaji unatoka kwenye mind. makanisa ni matokeo ya mind za watu. Ingawa naamini kuna Mungu lakini kuna miungu wameumbwa na binadamu lakini wanadamu wakasema wameumbwa na hiyo miungu.
 
Wajinga sana hao ndugu

Sory kwa kukufua kabur

Ila hawatibu wala nini zaid wanachosha mgonjwa mpaka unadondoka

Wezi wakubwaa haoo
 
Back
Top Bottom