HELLO MADAMU,UKO SAHIHI,WATAALAMU WA PSYCHOLOGY WANAASEMA HIVI WATU WAFU WENGI WAO HAWANA AKILI,AF HUWA HAWANA SIRI,HAWAJIAMINI,KWAHIYO WANAWAKE WALIOWENGI HAWANA AKILI ZA KUTSHA,WENYE AKILI NI WACHACHE SANA,NAJUWA MTACHARUKA NAKUTUKANA ,NASEMA WENYE AKILI NI WACHACHE SANA DUNIANI,BAHATI YANGU MIMI MAMA YANGU ANA AKILI SANA,Habari za jumapili wana JF I hope iko poa
Hivi kwa nini wanawake wengi ni wafupi hivoo jamani ?asilimia 85% ya wanawake ni wafupi.
Mimi Nina urefu wa Futi 6.8 wanawake kama hawa ukiwatafuta hapa Tanzania wanahesabika labda wanywaruanda ndo warefu wanawake wengi range yao ni Futi 4.5,5.5, mpka 5.8 sasa Mimi Nina Futi 6.8 Nina msichna Wang ana Futi 5.8 wewe huoni nmemuacha sana???. Kwa nini wanawake hamrefuki???
Yeye kajiona mrefu haangalii wanaume wenzake vimo vyaoooo?! Yaani mdada ukiwa na hata 5.8 asilimia kubwa ya wanaume unaokutana nao unajikuta umewapita urefu! Yaani mimi ndo sijawai kua na mwanaume mrefu zaidi yanguKiufupi watanzania ni wafupi especially wa kanda za pwani uko ni wafupi sana warefu wengi wanapatikana kanda ya ziwa rukwa kidogo na arusha
Ila kiusawa mwanamke hatakiwi kuwa mrefu sana zaidi ya mwanaume hata ukiangalia wazungu utakuta asilimia kubwa ya wanawake ni wafupi kulinganisha na wanaume
Najikunjaga mkuui see kwa urefu huo nenda kiwandani kaagize kitanda special maana vitanda sita kwa sita huwezi kulala
Hyo cousin wako ananifa hyo VIP ameolewa au yupo available?Duuh! Unatafuta msichana mrefu hivyo ili iweje?
Mzee wangu ni 6.5 na mama 4. Na tumetoka height nzuri tu... Mdogo angu wa kiume ni 6.0
Anyway! Ni preference ya mtu. Nna cousins wakike wenye 6. Warefu wapo mkuu
Sikuunganishi na cousin mkuu!!!Hyo cousin wako ananifa hyo VIP ameolewa au yupo available?
Daaah mkuu hyoo atanifaa sana acha kunibania basiSikuunganishi na cousin mkuu!!!
Endelea kutafuta tu
Siku hizi hakuna wafupi tenaaa, asante high hills
Hapa hapa Tanzania INA ukweli asilimia 99%hii tafiti ya wapi tena
Una cm ngapihii tafiti ya wapi tena
Nenda mikoa yenye asili ya urefu! Utawapata mkuu!Daaah mkuu hyoo atanifaa sana acha kunibania basi![]()
![]()
Swali lako halina tija kama unaweza muulize muumba kwa sababu wewe huwezi kuumba hata sisimizi.Habari za jumapili wana JF I hope iko poa
Hivi kwa nini wanawake wengi ni wafupi hivoo jamani ?asilimia 85% ya wanawake ni wafupi.
Mimi Nina urefu wa Futi 6.8 wanawake kama hawa ukiwatafuta hapa Tanzania wanahesabika labda wanywaruanda ndo warefu wanawake wengi range yao ni Futi 4.5,5.5, mpka 5.8 sasa Mimi Nina Futi 6.8 Nina msichna Wang ana Futi 5.8 wewe huoni nmemuacha sana???. Kwa nini wanawake hamrefuki???