Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

Maendeleo yako vizuri mkuu ila juzi Mungu tu amesaidia. Juzi nilikuwa nawaza nyeto tu muda wote akili haikuwaza kingine nikaona kuepuka hii kitu niende nikachukue wale wa dakika 5 mitaa ya moro mjini pale niwe mwepesi.

Aisee nilipofika pale walikuwa wengi tu wanasubiri wateja, baada ya dakika tano hivi akapita mtoto na mama yake ambaye ni kipofu wanaomba msaada, ilibidi hela ya kufanyia hiyo dhambi nimpe yule mtoto afu nikaepa na ugwadu wote ulikata.

Ila nakaza kwakweli sipigi hii kitu mwaka mzima, huku nikiwa kwenye process ya kutoka kwenye TEAM SINGLE
mkuu ulimkimbia Shetan kwny mdomo wake kabisaa
 
Mungu atukuzwe kwaajili yako, hongera sana. Kuna kitu kizuri wale waliopita ukawasaidia haukuwasaidia wao tuu Bali Mungu alikunusuru na kukusaidia wewe.

Utaweza kabisa kaka, na Mungu yu Pamoja nawe. Tuzidi kuimarika haijalishi hali itakuwaje
Asante sana mkuu. Naomba Mungu nisiweze kabisa kwenda tena kule
 
We jamaa utapoteza muda wako hii kitu ni ngumu sana kuacha kwa waliopitia kama unataka kuacha kweli ingia kwenye ndoa lakini kwa kuishi kisela ina maana unakaribisha roho ya uzinzi tu na unapoteza muda wako wa bure tu
 
Leo ni siku ya Tano, tangu nimeamua kuacha Kupiga Punyeto.

Najua kuna namna na wengine wanapitia katika hali hii na hawapendi kupiga Punyeto, Napenda kukutaarifu kuwa inawezekana Mi nimedhamiria na kila siku katika hii Thread (Uzi) nitakuwa nawashirikisha hatua ninazopitia katika kuacha kwangu.

Ukiwa na ushauri ukiandika hapa itasaidia na wengine ambao wamedhamiria kuacha kupiga Punyeto au Kujichua. Si kila mtu anaweza kuweka wazi msimamo wake ila wengi wanatamani kujifunza jinsi ya Kuacha hivyo karibu tushirkishe na amini katika kusaidiana

Namshukuru Mungu nimedhamiria, nimekusudia Na Mungu ananiwezesha na Akili imeshasema noo Punyeto Tena.
week ya 3 ( Siku 21) bila kupiga Punyeto.

Ninaendelea Kumshukuru Mungu kwa kila siku anavyonipagnia, Mambo Makubwa niliyoyafanya.

*Jumapili nilienda Kanisani nikatoa Sadaka ya Shukrani, pia Nikamuomba Mungu azidi kunisaidia kwa kuwa pekee yangu siwezi.

*Kuna wakati nilipitiwa kwenye jaribu LA kutazama vitu vinavyopelekea kujichua kwa tamaa ila katika kutazama ndani nikakumbuka kuwa nilishasema No kwa Punyeto nikaacha na kuendeleza kazi za kuwa busy

*Nimejifunza kupuuzia wanaosema huwezi kuacha, hiyo huwa hawaachi, na wenye kukatisha tamaa.

*Nimeamua kujifunza na kusikiliza kwa walioacha, na wanaotamani kuacha na wenye maneno ya kutia nguvu.

Ni maamuzi mazuri kuamua kuacha, Siku ya 21 Leo, Asante Mungu. Ukitaka kuacha kitu kibaya epuka kuwasikiliza wanao ona kuwa haiwezekani, jifunze kwa wanaoweza kukujenga kukushauri na kukutia moyo
 
Leo ni siku ya Tano, tangu nimeamua kuacha Kupiga Punyeto.

Najua kuna namna na wengine wanapitia katika hali hii na hawapendi kupiga Punyeto, Napenda kukutaarifu kuwa inawezekana Mi nimedhamiria na kila siku katika hii Thread (Uzi) nitakuwa nawashirikisha hatua ninazopitia katika kuacha kwangu.

Ukiwa na ushauri ukiandika hapa itasaidia na wengine ambao wamedhamiria kuacha kupiga Punyeto au Kujichua. Si kila mtu anaweza kuweka wazi msimamo wake ila wengi wanatamani kujifunza jinsi ya Kuacha hivyo karibu tushirkishe na amini katika kusaidiana

Namshukuru Mungu nimedhamiria, nimekusudia Na Mungu ananiwezesha na Akili imeshasema noo Punyeto Tena.
Mkuu chaputa haustaafu, unapumzika kwa muda.

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Ni Siku 37 toka nimeacha kupiga Punyeto

Asante sana Mungu, nilijua inawezekana ila ukaniambia sio kwamba inawezekana tuu bali nitakuwezesha. Katika yote ninayopitia bado umeniwezesha. Pale hali zote za nje zinapoona kuwa siwezi, mazingira yakiona siwezi nikiyatazama na yatengenezea namna ya kuyaweza.

-Kwasasa hata nikikaa pekee yangu kwa muda siwezi kuwazawaza ujinga, na hata ukija napeleka mawazo kwenye shughuli za maisha

- Kila siku namuomba Mungu najua pekee yangu siwezi na ameniwezesha

-Nimepunguza vitu vya ushawishi vinavyochochea akshi.

-shughuli nyingi za kusoma na kikazi zimezidi kunifanya kuwa busy.

- Inawezekana Inawezekana siku 37 na bado nasonga. Unayeanza kuacha jua tuu Inawezekana nami nilianza kwa Massa 24 tuu kuacha nikaendelea hadi leo
 
Ulikuwa una matatizo mengine binafsi usiitie ubaya puri

Nina miaka zaidi ya 10 napiga puri na uwezo Wangu haujawahi kuwa wa mashaka mashaka hata siku moja.

Nina mademu wa5 hao ni official achana na wale wa kuuza mechi na kila wiki nagonga wa3 au zaidi kati yao na wote natungua 2+ nipo fiti kalikiti na situmii mkuyati wala shimboko ya Makasi
woyoooooo

Jf idumu milele aameen
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom