Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,059
- 5,462
Wakuu,
Kuna dada ameshea story yake juu ya mambo aliyokuwa anafanya chuoni kutokana na mkumbo na tamaa, mambo yaliyopelekea anajutia mpaka kesho na kuwaasa mabinti kuwa makini. Mwenye sikio na asikie.
Sterehe za muda zinaenda kugharimu maisha yako na wengine pia!
====
"Kuna story, Ina trend xana kuhusu wadada wa chuo UDSM nime ona ume post pia ila Kuna funzo nataka niwape ma binti ambao wako chuo na pia na omba u share Kila mdada ambaye yuko chuo aone na ajifunze, mim nilimaliza chuo mwlm Nyerere back yrs na kipind tuko chuo tulikua groups Yani zile za wadada kusema kutoka outing iv na crazy stuff mambo mengine so mim nilikua sio mpenz sana wa kutumia pombe Alf kingine kutoka penyewe hao marafiki Zang ambao Nilikua tunatoka nao wengi walikua Wana kua sponsor na mume za watu wengine ata tv presenter wakubwa tu ambao mim kwangu ilikua ndoto kuwaona ila kwasababu ya marafiki ambao Nilikua nao ilikua ni kawaida.
"Sunrise hotel so akifika ana tu nunulia tunachotaka coz yeye ni mtu mkubwa lle ku to fanya attention kwa watu wengine anakua na dereva wake na watu wengine kwaio kujua kama ametutoa out ni vi huku Alf yeye ana kua busy na uyo shoga angu so tabia yake yule baba alikuwa akitutoa out iv alikuwa ana tutongoza sisi wengine na ana sema usi seme kwa Kathe, so una Kuta wadada wote ambao tulikua marafiki na Cathe wote wame tembea na yule baba na lo ni kwasababu ya maisha ya chuo una elewa yaliyo magumu coz anaweza ku text hello usipo jibu ana kupigia kwa number nyengijne ana kuuliza shida nin kama vocha huna ukisema huna vocha anakutumia laki 1 kwaio Ile ndio ilikua tabia ya yule baba na u can't imagine sisi Wanawake tulivyo kua wabaya japo ni mume wa mtu na pia ni danga wa rafik yetu wote Amna ambaye ashawaii kusema kua yule baba ame tulala wote Wakat tofauti na mdaa tofauti na tukikutana na Cathe tuna jifanya kama tuna pambisha kua ana pendwa na yule baba ila kimtu yule baba alikuwa ansana kukutana nao, so to make long story short Kuna uyo shoga angu ana itwa Kathe yeye alikua ana mahusiano na mume wa mtu na alikuwa ni mtu mkubwa ty na famous Zaidi ata ya huyo mwijaku kwa status yake lakin so alikuwa akitaka kutoka na shoga angu ana tuchukua wote kama 7 ana tu toa out na mara nyir ua ana tupeleka
"So nili cho Fanya kwanzaa ni ku kata mawasiliano na yule baba na kuhama pale nilipo kaa na wale shoga Zang maana nilijua ty ikija kujulikana itakua sio poa ugomvi mkubwa so nili hama nka hamida Mbal kibada uko nikawa na kaa so kipind na hama Cathe akawa ana niambia mbona uko mbal ata tukitoka una kuaa Mbal nka danganya kua boyfriend Wangu ataki ni kae rooms niwe na kaa naye by the way boyfriend Wangu ajuii chochote kile so mdaa ulipita kama 3 weeks siku lo tulikua Tunafanya presentation class one of my friends akawa hajiskii vizur akawa ana umwa v Baya akawa awezi kwenda class aka niomba ni msindikize hospital c kua na shida siku lo siku enda presentation nika msindikiza tulivyo fika hospital alipimwa aka kutwa na mimba na homa Kali ila ma nesi Waka ni uliza huyu ni ndugu yako nkasema ndio sio Rafik ni ndugu basi Waka niambia naitwa na daktari so yule dokta aka niambia shoga angu ana mimba ila naomba tufanye uchunguzi c jui wa nin ata si kumbuki ila Ali lazwa na badae jionii Waka mpaa
"Majiibu yake kua ana mimba na ana maambukizi ya ukimwi, kusema ukwweli nili umia sana maana shoga angu nilikua Hali maisha yake maana Toka mwaka wa 1 tuna soma naye alikua bedo wangu so nilikuja kuona vile nka amua na mim Sasa niende pharmacy ni chukue kipimo Cha mimba nipime nika pima mimba Sina ila bado moyo ukawa hutulii nikataka nikapike ukimwi ila nilikua naogopa kwenda hospital ila nika enda pharmacy Kuchukua kipimo kupima Nina ukimwi pia lo siku Nili lia sana tena sana nakumbuka sikula siku nzima ata boyfriend Wang nilikua na muonea huruma so Sasa sijuii ivyo virusi tulipata wapi kwa yule baba au ni mtaani au wapi ila sisi wote 2 tulikua Tunalala na yule baba, nili umia sana niliona ndoto Zang Zina isha apa nilicho fanya nika mwambia dada yang dada aliniambia maliza chuo uwe una enda clinic
"Kwaio ao wengine marafiki Zangu c juui kama pia na wao Wana ukimwi au walijua Waka vunga kama nilivyo vunga mim maana Toka tume maliza chuo c juui wengine wako wapiii, saiv Niko Zang na endelea na clinic na chukua dawa na Rafik Yangu yule alijifungua mtoto wa kiume na yule mtoto mpaka hii Kesho yule mtoto ni wa yule baba ambaye ni alikuwa danga wa cathe ila hajawai mwambia kama ana mtoto wake kwaio Jaman Hawa wa dada wa Chuo hizi Tamaa ambazo tunakua Nazo ni mbaya na kitu ki kubwa ambacho me hua na jutia nikiwa chuo ni mkumbo Yani peer pressure kukutana na watu ambao walinipelekea kujua Kila mlango wa Baar na Kila mwanaume na hotels kubwa kwaio hakuna mwanaume wa mtu ambaye ww unaona una mkomoa kumbe yeye ana kukomoa mara 100 yake"
Imagine inawezekana hao wengine wanajua, au wajui nini nikanaendelea, sasa fikiria wakati wanakutana na watu mblaimbali hiyo chain yake itakavyokuwa ndefu!