Una uhakika?! Au we ndo JPM mwenyewe?!Nina uhakika, Raisi amepitia uzi huu kabla ya hotuba. Kuna sehemu ametamka,"kuna wengine wanaomba ati wasamehewe". Pia ukizingatia maamuzi yake kuwa,anayejijua ajiondoe mwenyewe kabla ya kukamatwa. Hiyo ni aina ya msamaha! Ni busara tu zimetumika kuweka uzi kama huu,na siyo kwa vile ni muathirika! Ni kwa manufaa ya wote.
Amefurahi ameachwa na dingi yakeNaona Bashite umekuja na ID mpya jf
Ni kweli kabisa hata mie naona kama Bashite Ameachwa hata hao watumishi ingelikuwa busara wawaache tu nao!Hapana,wala sihusiki na masuala ya utumishi. Nimejaribu kuangalia logic behind unapoamua kumfunga mtu,pengine kwa kosa ulilolifanya ukiwa mwajiri,na muda wote umekuwa unamsimamia kazi,na ana perform vizuri!
Aksante kwa kunijuza mkuu!Nina uhakika, Raisi amepitia uzi huu kabla ya hotuba. Kuna sehemu ametamka,"kuna wengine wanaomba ati wasamehewe". Pia ukizingatia maamuzi yake kuwa,anayejijua ajiondoe mwenyewe kabla ya kukamatwa. Hiyo ni aina ya msamaha! Ni busara tu zimetumika kuweka uzi kama huu,na siyo kwa vile ni muathirika! Ni kwa manufaa ya wote.
Acha ujinga kwan hao ambao hawana vyeti feki hawasababishi vifo???Acheni ujinga,mnajua hao wa vyeti fakewameleta madhara gani kwa jamii?Kama ni nesi kasababisha vifo vingapi?Kama ni doctor pia,kama ni mwanasiasa maamuzi yake yamesababisha sintofahamu gani
Hoja yako ni nzuri!Taarifa zilizopo, kuna uwezekano wa kufungwa jela watumishi watakaopatikana kugushi vyeti. Kwa vyovyote iwavyo,kugushi ni kosa la jinai.
Lakini, kuna aina za kugushi. Mfano,mtu anagushi cheki ya benki kwa sahihi feki, anachukua fedha ambazo hajazifanyia kazi yoyote! Huyu ni mhalifu anayestahili afungwe.
Ukilinganisha huyu na mtu kama Nesi aliyefoji cheti ni watu wawili tofauti. Huyu nesi utakuta mathalani kafanya kazi miaka 20 na hicho cheti feki. Kazalisha almost wajawazito kijiji kizima kwa njia salama!
Ni kweli,alipokea mshahara,lakini aliufanyia kazi kwa ufanisi na uaminifu mkubwa! Ametoa mchango kwa Taifa. Utakuta pia cheti alichofoji ni cha form 4, lakini cha nursing miaka 4 amefaulu vizuri na aliattend chuo kikamilifu.
Ni maoni yangu,watumishi wa aina hii wafikiriwe katika adhabu.
Unaota ndoto ya babu kizaa babu yako aliyekufs arudi agombee uraisJPM akiwachukulia hatua hao watu elfu 10 peke yao na kumwacha BASHITE Tutafanya kampeni nchi nzima kuwaambia wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani naye,hatutaki double standard hapa kama anamuacha BASHITE na hao elfu 10 awaache hivyo hivyo.
Hata mimi naunga mkono hoja. Na hilo naomba nimshauri Rais ili aamini kwamba hao waliandikwa kwenye Ripoti wana vyeti feki walikuwa ni watu wa namna gani katika utendaji kazi. Atumie wakuu wa idara au vyombo vya usalama naamini ataambiwa hao walikuwa ni wachapakazi na watu makini. Mimi bado siamini sana katika vyeti vya form four maana huwa naona kuna walimu mathalani wanaajiriwa wana vyeti vya form four tena division 3au2 wana uwezo mdogo kuliko hata wale wa UPE ambao ni darasa la saba. Pamoja na ripoti hiyo nakushauri Rais wangu mpendwa najua una vyombo mbalimbali unavyoweza kuvitumia kukupa taarifa za kiutendaji za watu hao na amini utapewa sifa lukuki za watu hao juu ya nidhamu kazini na moyo wa kujituma.
Fita ni fita muraaaMimi naomba asiingie jeshini, polisi wala magereza najua wamejaa kibao ila awachunie tu, kwani hawa jamaa wakitimuliwa siku wakiamua watumie utalaam wao kufanya uhalifu tutatafutana, hawa majambazi ambao wamejifunza wenyewe kutumia silaha kienyeji wanatusumbua, kuwatuliza, jee hawa ndugu zangu wenye utaalam wakutumia silaha ya kila aina si tutatafutana.
Napingana na wewe kwa 100%.
Hujui kuwa hawa watu wanaathari kubwa sana kwenye utendaji.
Hawa watu ni tatizo kubwa sana sana sana kwenye nchi yoyote duniani na mbinguni.
Hapa ndipo ninapomkubali sana mh.Rais. Rais yupo Makini sana na masuala ya kushughulikia watu wanaokwamisha maendeleo ya nchi.
Kwanza mtu aliyefanya udanganyifu wa cheti kamwe sio mwaminifu. Kila kitu kwake anakirahisisha kwa kufanya dili. Kamwe Sio mvumilivu. Anapenda short cut siku zote. Jiulize kwa nini wenzake wanakua wavumilivu na wanarudia kufanya mitihani hata mara tatu au nne lakini yeye anakimbilia kudanganya. Anawahi nini huko kama sio ajira za kupeana?
Kuna watu unakuta familia nzima wanatumia vyeti vya kufoji. Halafu wanadharau wale wenye elimu ndogo ambazo ni halali kwa kuwaona ni wajinga.
Tunao mifano hai ya wanasiasa wanaosemekana kuwa walifoji vyeti.
Ni watendaji wazuri sana lakini mambo wanayoyafanya mara nyingine ni yale yanayoonyesha ule ujinga walioshindwa kuuvuka kule shuleni.
Kuna dada mmoja alikuaga benki fulani kwa kutumia cheti cha mtu. Kwa kweli alikua ni kero kubwa sana kwa wateja. Hata hao manesi unaowasema kuwa wanaelimu za kughushi kwa asilimia mia ndio wanawasumbua wagonjwa kwa lugha chafu na kiburi. Hakuna msomi aliyesota darasani kwa akili yake mwenyewe anakuaga na tabia za ajabu ajabu. Wenye elimu zao halali wengi ni wastarabu sana hata huko mitaani. Lakini wale wa kufoji hawana tofauti na mlevi wa pombe ya mnazi anapoingizwa baa na kununuliwa pombe, atatukana bar nzima.
Upigaji wa dili wote kwa kiwango kikubwa wanatumiwa watu wenye elimu feki kwani wanaohofia kutolewa kwenye vitengo hivyo. Hawa ndio wale wanaojipendekeza sana na kuhonga kwa ajili ya kununua nafasi na idara zenye maslahi huko maofisini.
Hawa pia ni wataalam wa kutumia ndumba na ushirikina kutokana na kuishi kwa wasiwasi wa kufukuzwa kazi.
Mtu kama anaupenda udaktari au unesi au ualimu basi asome kwa kichwa chake mwenyewe mwanzo mwisho hadi apate kile anachoomba.
Kwa nini adanganye.
Hawa ni matapeli wa umma, wanalugha nzuri mdomoni lakini wanalenga kupiga mana wanajua muda wowote wanaweza wakabainika.
Fuatilia kwa umakini utabaini kuwa hawa wenye vyeti na elimu za kitapeli wanatajirika haraka haraka huko maofisini kutokana na ukweli kuwa wao kila kitu kinawezekana kikafanyika na kikawa dili, tofauti na wale wenye vyeti na elimu halali wanakua waoga wa kufanya udanganyifu huko maofisini.
Waondoke zao kama walivyoingia kitapeli kwenye elimu na kuwaona wanzao wenye elimu za msingi kuwa ni mafala basi sasa ni zamu yao kuondoka kwa aibu.
Sitaki kuamini kuwa waliiba au kughushi vyeti kwa ajili ya kuisaidia jamii bali kwa ajili ya kujipatia fedha. Tamaa yao ya mishahara mikubwa ndiyo iliyowafanya waghushi vyeti. Kama ni kuitumikia jamii basi wangenaki na vyeti vyao halisi na kujiendeleza huko makazini.
Yani mtu wakati wenzake wanakesha wakiwa wanasoma yeye anazurura mitaani na kuvuta bangi pombe na starehe za uasherati huku akiwakejeli wale wanaosoma kuwa wametumwa na kijiji halafu baadae unamkuta ofisini anaitwa Daladala Dereva wakati jina lake haliai ni City Alibaba!! Sio haki.
Hapana Wakae pembeni. Walichotapeli kinatosha.
Umetoa mfano wa uwezo wa walimu wa UPE kuwa uko vizuri. Hapo ndipo pa kujifunza kuwa mtu akitumia na kusimama katika ukwe wa elimu aliyoipata anaweza akafanya vizuri sana kwani anakua hajadanganya. Anatoa kichwani kile alichojaliwa na Mwenyezi Mungu.
Huyu hawezi kuwa Bashite. Bashite yupo kwenye mikono salama amepakatwa/amepakata. Kwa sasa amesafishwa, na kwa kuwa anajua kusoma na kuandika, ipo siku utasikia yeye ni Waziri Mkuu wa Nchi hii. Hivi vituko vinatokea Tanzania tu.Naona Bashite umekuja na ID mpya jf
Kwani nawewe ulifekisha mkuuTaarifa zilizopo, kuna uwezekano wa kufungwa jela watumishi watakaopatikana kugushi vyeti. Kwa vyovyote iwavyo,kugushi ni kosa la jinai.
Lakini, kuna aina za kugushi. Mfano,mtu anagushi cheki ya benki kwa sahihi feki, anachukua fedha ambazo hajazifanyia kazi yoyote! Huyu ni mhalifu anayestahili afungwe.
Ukilinganisha huyu na mtu kama Nesi aliyefoji cheti ni watu wawili tofauti. Huyu nesi utakuta mathalani kafanya kazi miaka 20 na hicho cheti feki. Kazalisha almost wajawazito kijiji kizima kwa njia salama!
Ni kweli,alipokea mshahara,lakini aliufanyia kazi kwa ufanisi na uaminifu mkubwa! Ametoa mchango kwa Taifa. Utakuta pia cheti alichofoji ni cha form 4, lakini cha nursing miaka 4 amefaulu vizuri na aliattend chuo kikamilifu.
Ni maoni yangu,watumishi wa aina hii wafikiriwe katika adhabu.