Ushauri wa kozi ya Masters ya kuchukua

kalanga

Member
Feb 2, 2011
79
69
Naombeni ushauri wataalamu kati ya kozi hizi mbili nichukue ipi.Master of Information Technology in Project Management (IT-Project management) and

Masters of Information and Communication Technology for Development (ICT4D).
 
Mkuu ushapata na chance ya kusoma masters right now, tupeane infor basi kama kuna sponcership zmeachiwa wazi na sisi tuparangane vzr na taaluma zetu
 
Naombeni ushauri wataalamu kati ya kozi hizi mbili nichukue ipi.Master of Information Technology in Project Management (IT-Project management) and

Masters of Information and Communication Technology for Development (ICT4D).
Soma ICT
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom