Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 4,146
- 3,791
- Thread starter
- #81
Je,ni Watanzania wote wanaelewa hivyo? Nini kifanyike tusidanganywe tena na hawa wadau wetu kwenye mikataba mibovu?Mtataaaaaaniiiiiiii tumia ubongo kufikiri achaaaaa, tafuta clip ya Lissu usikilize vizuri, hao acacia hawataki hata kusikia neno Lissu.