Ushauri: Serikali ianze kuandaa Mifumo mipya ya Kodi za Magari, Pikipiki na Guta za Umeme

petro matei

JF-Expert Member
May 11, 2014
797
930
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena.

Na pia Serikali ipunguze kutoa leseni za petrol station badala yake watoe leseni ya vituo vya kuuzia gesi haswa kwa dar na na majiji yote.

Serikali pia ni muda wa kutambua pikipiki zinazotumia umeme kama chombo rasmi cha moto vivyo vinastahili kupewa namba ya utambulisho (plate number) kupunguza wizi.

Pikipiki iz za umeme Zina mpaka speed 80 Hadi 120 uitambua kama baskeli si sawa.
Kwa serikali ipo katika kuandaa mkakati wa maendeleo ya 2025 Hadi 2050 liende sambamba na ukuwaji wa teknojia.
 
Back
Top Bottom