Ushauri: Rais Samia naomba umfukuze kazi Mkurugenzi Mkuu wa TBS mara moja

Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli mwenye uchungu na nchi hii? Tanzania tuna shida gani sisi ya kupewa msaada wa mchele kutoka marekani wakati nchele kutoka mbeya na kwengineko nchini unakosa soko?

Naomba sana sana Mkuu huyu wa TBS achunguzwe haraka sana na hatua kali sana zichukuliwe dhidi yake. Hana tofauti na muhujumu uchumi huyu.

Mh. Rais kwa heshima na taadhima nakuomba uchukuwe hatua za haraka na Vyombo vya ulinzi vifanye ufuatiliaji kuna dalili za rushwa katika ofisi ya TBS.

Jumatatu njema!
Kwani huo mchele una shida gani hebu twambie! Kwani nchi hii hakuna kiwanda cha kutengeneza condom? Mbona hata condom zingine za msaada? Hebu kuleni mchele mnyamaze
 
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli mwenye uchungu na nchi hii? Tanzania tuna shida gani sisi ya kupewa msaada wa mchele kutoka marekani wakati nchele kutoka mbeya na kwengineko nchini unakosa soko?

Naomba sana sana Mkuu huyu wa TBS achunguzwe haraka sana na hatua kali sana zichukuliwe dhidi yake. Hana tofauti na muhujumu uchumi huyu.

Mh. Rais kwa heshima na taadhima nakuomba uchukuwe hatua za haraka na Vyombo vya ulinzi vifanye ufuatiliaji kuna dalili za rushwa katika ofisi ya TBS.

Jumatatu njema!
Acha kukurupuka!
 
Jibu swali...
Mchele ni salama au si salama?
 
Umekurupuka kidogo Mkuu.
Kiongozi anaejali maslahi ya taifa na mzalendo wa kweli hawezi kuunga mkono msaada wa mchele kutoka marekani hata kama wameupima na kuona hauna tatizo. Kitendo cha TBS kusema huo mchele na maharagwe ni salama kwa watumiaji ni sawa na kutuhujumu. Unadhani wananchi watailewaje serikali? Tanzania hatuna mchele? Hatuna maharagwe? Anatakiwa kufukuzwa mara moja na uchunguzi uanze watakua wamehongwa.
 
Sasa mkuu wanahujumu vipi nchi? Ni sawa na umeenda hospital, Dr akakuandikia vipimo. Kazi ya technician ni kuchukua vipimo kwa weledi. TBS wamefanya kazi ya kupima Ubora wa chakula, wameona kiko okay, je ulitaka wadanganye kwamba hakiko sawa? Hayo ya masoko, na kama kweli tunahitaji msaada wa chakula zipo mamlaka za kujibu
Angekuwa Magu hicho kibali kisingetolewa, TBS wangejizungusha mpaka mchele unaozea bandarini, hiyo NGO isingerudia tena kuagiza huo mchele.
 
Sasa tangu lini mkurugenzi wa TBS akaamua tuchukue msaada au tuache. Yeye kazi yake ni kusema mchele uko salama au haufai kuliwa.
Yeye kama kiongozi mwandamizi wa serikali alitakiwa kujali maslahi ya nchi kwanza. Kulikua na ulazima gani wa kutangaza kuwa huo msaada ni salama? Amehongwa? Ameambiwa Tanzania tunahitaji msaada wa mchele? Foolish
 
Sasa mkuu wanahujumu vipi nchi? Ni sawa na umeenda hospital, Dr akakuandikia vipimo. Kazi ya technician ni kuchukua vipimo kwa weledi. TBS wamefanya kazi ya kupima Ubora wa chakula, wameona kiko okay, je ulitaka wadanganye kwamba hakiko sawa? Hayo ya masoko, na kama kweli tunahitaji msaada wa chakula zipo mamlaka za kujibu
Kama kiongozi mwandamizi wa serikali alitakiwa ajue taarifa yake ina madhara gani kwa nchi. Siyo kila taarifa unaisema tu kwa sababu ya nafasi yako. Siyo mzalendona wala hajali maslahi ya taifa. Hafai kuwa kiongozi wa umma. Huyu ingekua enzi zile za magufuli tungeshapata taarifa asubuhi hii.
 
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli? Ni mzalendo kweli mwenye uchungu na nchi hii? Tanzania tuna shida gani sisi ya kupewa msaada wa mchele kutoka marekani wakati nchele kutoka mbeya na kwengineko nchini unakosa soko?

Naomba sana sana Mkuu huyu wa TBS achunguzwe haraka sana na hatua kali sana zichukuliwe dhidi yake. Hana tofauti na muhujumu uchumi huyu.

Mh. Rais kwa heshima na taadhima nakuomba uchukuwe hatua za haraka na Vyombo vya ulinzi vifanye ufuatiliaji kuna dalili za rushwa katika ofisi ya TBS.

Jumatatu njema!
Amefanya kosa lipi? Yeye hana mamlaka ya uingizwaji wa bidhaa, mamlaka yake ni kucheki kama ni safe kwa watumiaji. Amefanya kazi yake ametoa report? Kipi kingine unataka?
 
Angekuwa Magu hicho kibali kisingetolewa, TBS wangejizungusha mpaka mchele unaozea bandarini, hiyo NGO isingerudia tena kuagiza huo mchele.
Lakini mkuu hiyo sio professionalism. Na dunia haiendi hivyo. Wale TBS wameajiriwa kama wataalamu na wanalipwa kwa kodi zetu. Tunapaswa kuamini weledi wao. Kama tunataka kuwalaumu TBS, tuwalaumu kwenye mipaka ya majibu ya vipimo vyao.
 
Back
Top Bottom