Yahya Al Sinwar
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,413
- 22,890
Nimesoma Taarifa kutoka TBS ya kuridhia usambazaji wa mchele kutoka marekani na kusema eti mchele huo ni salama kwa walaji. Hivi huyu Mkurugenzi ana akili kichwani kweli?
Ni mzalendo kweli mwenye uchungu na nchi hii? Tanzania tuna shida gani sisi ya kupewa msaada wa mchele kutoka marekani wakati mchele kutoka mbeya na kwengineko nchini unakosa soko?
Naomba sana sana Mkuu huyu wa TBS achunguzwe haraka sana na hatua kali sana zichukuliwe dhidi yake. Hana tofauti na muhujumu uchumi huyu.
Mh. Rais kwa heshima na taadhima nakuomba uchukuwe hatua za haraka na Vyombo vya ulinzi vifanye ufuatiliaji kuna dalili za rushwa katika ofisi ya TBS.
Jumatatu njema!