erasto mrishayo
Senior Member
- Oct 16, 2015
- 157
- 80
Ww uwezo wa kumshauri Magufuli huna mwache awakomeshe wapuuzi kama hao
Nimesha kujibu lete hoja yakoNani kati ya Rais na baba yako mwenye thamani. Nijibu usitukane
Kuthibitishia mahakama pasipo shaka kwamba huyu bwege inamaana ya magufuli bwege ndo jambo la msingi.Katika context ya ulinganifu baina ya Nyerere na huyu; mtu mwenye akili unaelewa anamlenga nani sio!
pombe ntamkubali sana akifuta kabisa hii sheria ya mtandao. waliotunga hii sheria kwanza sidhani kama hata huo mtandao wanaweza kuutumia. katika karne hii huwezi kuzuia watu wasitukane facebook.
Duh! Kweli wewe mbwiga sana. Ina maana hukuelewa nani alimlenga?Lakini hakutaja jina la mtu, je mahakamani watathibitisha vipi kuwa aliyetajwa ni Mkuu wa Kaya?
Lizabon ktk sheria kuna kitu kinaitwa ' Actus reus na mens rea . soma alafu aelewe .Duh! Kweli wewe mbwiga sana. Ina maana hukuelewa nani alimlenga?
Rais ana mamlaka ya kumsamehe mfungwa ambaye ameshahukumiwa ila hana mamlaka ya kufuta kesi mahakamani.Raisi Magufuli,wewe ukiwa ni mwanasiasa unapaswa kuwa makini na mambo "madogomadogo" ambayo ukiyapuuza yatakujenga zaidi kuliko ukiyapa uzito.
Kwa ushauri wangu,jambo unalopaswa kutolipa uzito kwa sasa na hii kesi ya kijana Isaack wa mkoani Arusha anaetuhumiwa kukutukana.Kesi ya aina hii kwa mwanasiasa katika dunia ya leo si jambo jema sana hivyo ni bora tu kuachananayo.
Mh,ninaakika kesho ukiagiza Polisi waifute kesi hiyo,utakuwa umejizolea point nyingi sana kisiasa kuliko ukiacha kesi hiyo iendelee.Sifa ya mwanasiasa ni uvumilivu na hata mzee Sitta aliwahi sema Bungeni kuwa mwanasiasa unapaswa kuwa na roho ngumu hivyo mh.jambo hili litazame upya.
Mh.Raisi labda nimalize kwa kukuulize swali hili:
Unakumbuka ni nani aliwaita wapinzani watoto ndani ya Bunge?
Tumia akili japo kiduchu, Magufuli hajalalamika popote na wala yeye siyo mlalamikaji kwenye kesi hii, mshtakiwa anashtakiwa na Jamhuri. Kazi kumwaga upupu tu JF wakati hata visheria vidogo hamjuhi.Mlishaonywa lakini kuwa Rais ajaye ni mkali. Huo ndo ukali wake
Sasa una uhak8ka gani kuwa Rais si mlalamikaji? Rais ni taasisi hivyo hata kama bakutaja jina la mtu, kutaja tu taasisi kunamfanya mshitakiwa awe na kesi ya kujibuTumia akili japo kiduchu, Magufuli hajalalamika popote na wala yeye siyo mlalamikaji kwenye kesi hii, mshtakiwa anashtakiwa na Jamhuri. Kazi kumwaga upupu tu JF wakati hata visheria vidogo hamjuhi.
Msimpakazie Magufuli hana mpango wala hajatuma mtu kukamatwa, bali ni TCRA ndio ilipata malalamiko kutoka kwa watu.
Mkuu, nawashangaa sana hawa vijana wa BAVICHA wanavyishabikia matusiAkiifuta iyokesi maana yake anataka vijana wawe wakitukana watuwazima umri wa wazazi wao. Kwanza Rais anamambo mengi ya kufanya hawezi kukawaza kakijana kasikokuwa na nidhamu kanakoropoka mitusi! tuache kutetea upuuzi na kuonea huruma watu walokosa adabu, actually hatonyongwa Hadi kufa lakini chamoto atakiona which Is good! Ngekuwa hakimu ningeamuru apigwe viboko 24 (6 asb 6 jioni kwa siku mbili) na vioneshwe luningani.
Wewe ni mjinga na bahati mbaya hujijui kama wewe ni mjinga, mshtakiwa anashtakiwa na Jamhuri na si Magufuli wala Rais. Muwe mnajipa wa kujifunza vitu basic kama hivi, na mpaka mwisho wa kesi Magufuli hatokwenda mahakamani kutoa ushahidi, huyo mtuhumiwa atapambana na DPP na hakimu atapima hoja za upande wa mashtaka na hoja za upande wa utetezi na kutoa maamuzi kama mtuhumiwa ana kesi ya kujibu au Aquito.Sasa una uhak8ka gani kuwa Rais si mlalamikaji? Rais ni taasisi hivyo hata kama bakutaja jina la mtu, kutaja tu taasisi kunamfanya mshitakiwa awe na kesi ya kujibu
Basi hata wewe inatakiwe uwe Lockup sasa hivi, Mara ngapi umewatukana watu matusi ya nguoni hapa?Alitukanaje kwanza?? Kama ni matusi ya nguoni awekwe ndani miaka mitatu ajifunze adabu