Ushauri: Police na TRA wafanye 'System Integration' kwa malipo ya magari?

Good morning wana Jf.

Leo nikiwa ninaendesha gari kuelekea maeneo ya VETA chang'ombe ghafla nikasimamishwa na traffic police wakitaka niweke gari pembeni ili wakague kama nimelipia Road Licence.

Wiki moja kabla nikiwa napita barabara ya kilwa nilikutana na kikosi cha traffic police wakiwa wametega camera ndogo yenye uwezo wa kusoma plate numbers za magari kisha wakabaini gari ipi inadaiwa faini ya kosa la barabarani ili mmiliki aweze kulipa pamoja na penalties zote.

Swali: Kwanini Traffic Police na TRA wasifanye system integration kiasi kwamba wakiweka zile kamera za kusoma plate numbers wawe na uwezo wa kuona madeni yote yanayodaiwa kwa gari husika? Kuanzia road licence, insurance, fines za traffic offences, sticker za usalama barabarani na malipo yote inayodaiwa gari?

Tatizo hapa ni nini? Hatuna programmers wa kufanya hivi ama kampuni za auctions zitakosa deals?

Ninawasilisha.
Aiseh mimi siku zote najua hii system yao wameshirikiana na TRA kwa ajili ya kutambua gari zisizolipiwa Road Licence kumbe ni kwa ajili kutambua gari zinazodaiwa faini ya kosa la barabarani.
 
Swali: Kwanini Traffic Police na TRA wasifa? Kua programmers wa kufanya hivi ama kampuni za auctions zitakosa deals?

Ninawasilisha.
Pole sana tatizo wanafanya kazi kwa kubahatisha hakuna weledi
 
Aiseh mimi siku zote najua hii system yao wameshirikiana na TRA kwa ajili ya kutambua gari zisizolipiwa Road Licence kumbe ni kwa ajili kutambua gari zinazodaiwa faini ya kosa la barabarani.
Bado wapo too primitive kwa issue ndogo kama hizi
 
nilimsikia rto wa kinondoni akiulizwa swali kama hili majibu yake ni kuwa eti wakiunganisha hizo system mbili itakuwa ni mwisho watu kuazimana magari, itakua ni kosa kukutwa unaendesha gari ambayo sio lako inabidi namba ya gari jina la kwenye kadi na leseni viwe na taarifa zinazofanana!
alijibu hovyo
 
mh!!!
 
Good morning wana Jf.

Leo nikiwa ninaendesha gari kuelekea maeneo ya VETA chang'ombe ghafla nikasimamishwa na traffic police wakitaka niweke gari pembeni ili wakague kama nimelipia Road Licence.

Wiki moja kabla nikiwa napita barabara ya kilwa nilikutana na kikosi cha traffic police wakiwa wametega camera ndogo yenye uwezo wa kusoma plate numbers za magari kisha wakabaini gari ipi inadaiwa faini ya kosa la barabarani ili mmiliki aweze kulipa pamoja na penalties zote.

Swali: Kwanini Traffic Police na TRA wasifanye system integration kiasi kwamba wakiweka zile kamera za kusoma plate numbers wawe na uwezo wa kuona madeni yote yanayodaiwa kwa gari husika? Kuanzia road licence, insurance, fines za traffic offences, sticker za usalama barabarani na malipo yote inayodaiwa gari?

Tatizo hapa ni nini? Hatuna programmers wa kufanya hivi ama kampuni za auctions zitakosa deals?

Ninawasilisha.
Tanzania hatujui matumizi ya muda ndio maana unaweza simamishwa barabarani mfano toka Arusha mpaka Moshi kwa zaidi ya vituo vitano na kote huko baada ya kukupotezea muda wanakwambia nenda.

Tengekuwa kweli tunajali matumizi sahihi ya muda, tusingekuta traffic njia kila baada ya Kilometer chache. Nimebahatika kusafiri kati ya Namanga na Nairobi huwezikuta magari yanasimamishwa ovyo sana sana ni pale mwanzoni mwa mpaka kwa ajili ya kukagua waingiaji wasio na pass ya kusafiria. Kwa muono wangu wa harakaharak ni kuwa kuna "over employment" kwa upande wa kikosi cha usalama barabarani ndio maana wamejazana barabara kutuchukulia muda wetu.
 
Pole sana kaka. Ila taratibu tu wao pia watabadilika
 
nilimsikia rto wa kinondoni akiulizwa swali kama hili majibu yake ni kuwa eti wakiunganisha hizo system mbili itakuwa ni mwisho watu kuazimana magari, itakua ni kosa kukutwa unaendesha gari ambayo sio lako inabidi namba ya gari jina la kwenye kadi na leseni viwe na taarifa zinazofanana!
Hatari, mabasi ya kwenda mikoani ya Shabiby litakuwa linaenda moja tu kwa siku ambazo Mbunge wa Gairo ambaye ni mmiliki atakuwa hana vikao bungeni ili apeleke abiria.
 
Tra kitengo cha load licence wanamipango mibovu inayoikosesha serekali pesa. Nilipita matatizo ya uchumi. Nikapaki gali ndani kwa miaka kalibu 3. Nadaiwa laki 425,000/ ni private car. Nikaenda kulipia tra vingunguti nikiwa na 400,000/ cash. nawaomba nilipe iyo nibakiwe na deni la 25,000/ ili nimalizie nitakapolipia mwisho wa hii. Au mwisho wa mwezi. Majibu yao utafikili sio watendaji wa serekali hii. Wakasema atulipii nusu! NA mfumo wa kielectronic haupokei pesa pungufu!!.kwa iyo atuna njia ya kurisaidia!.nikasema basi niwalipe deni tu. Ego mfumo aukubali,wewe katafute pesa yote. Nikajibu kuwa kaondoka ila wausika inabidi mkaguliwe vyeti. Yank hamna option ya kupokea pesa ya serekari? Alta deni!. USHAULI WANGU.wafanye marekebisho mfumo wa kielectronics uwe na uwezo wa kupokea ela pungufu. Kwani mpaka leo sijalipa naitumia kwa kimtindo. Laki nne ya serekali nimeshazila tena.watu wengi wanaweza lipia kwa kupunguza madeni. Ishakuwa deni pokeeni. Deni linazidi mshahara.

Na mimi nna tatizo kama lako. Hivi nilikua nampango wa kwenda kuwaomba nipunguze then ntamaliza lkn umenikatisha tamaa siendi ntaendelea nami kutumia kimtindo.
 
Back
Top Bottom