LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,482
Oh poleh,kwanza jua tu kila binadamu anapitia hatua km yako at some ppw,kujua tatizo ni ushalisolve nusuKweli kabisa siko social sana hata nikiwepo najitenga sana na kujidharau
Nilikuwaga hivo miaka ya nyuma,Anza tu kujimix mtaani,shuleni km bado unasoma, ofisini, harusini, nk
Ktk kuongeza confidence jali mwonekano wako pia mwili uwe na harufu nzuri au basi walau usinuke utakua free mbele za watu,baada ya muda utakua kawaida tu utazoea