Ushauri: Nina maumbile madogo ya uume

Embu kwanza nichukuwe rula nione nnchi 4 ni urefu gani maaana hizi dushe zina mambo! Mwingine unaweza kuona ka dushe kembamba kadogo ila kakisimama kareeeeeefu kama barabara kakiingia hadi kooni. Duniani kuna mambo!
 
hard-facts-about-penis-size-640x637.jpg
Congo ni jipu
 
Jiamini,

Kumbuka hata Wanawake pia hawafanani, kuna wale ambao njia yao inakuwa ndogo, au naweza sema uke wao unakuwa mdogo.

Usitishike, ni maumbile tu.

Na wala usijtumie chochote kukuzyako.

Na kwenye tendo Wanawake wengine ukiingiza sana wanaumia, kwahiyo wewe jiamini kutana na Mwanamke wa aina yoyote, na utacheza nae kutokana na kimo cha Uume wako.

Wewe kuwa Mtu wa kucheza juu juu, usiogope maneno ya watu
 
Usiwe na hofu,kuna style za kutumia kwa mwanaume mwenye uume mdogo zitafute,kuwa mtundu tu utaweza bhanaaa
 
Embu kwanza nichukuwe rula nione nnchi 4 ni urefu gani maaana hizi dushe zina mambo! Mwingine unaweza kuona ka dushe kembamba kadogo ila kakisimama kareeeeeefu kama barabara kakiingia hadi kooni. Duniani kuna mambo!

Tehee njoo nikupe pipi yenye kirungu
 
Kama mwanamke anaweza mridhishawanamke mwenzake na kufanya aache kabisa kufikiria wanaume, why wewe ushindwe kumhandle mwanamke
Ni maujanja tu, sema hapo inabidi utafute lishakupenku likufundishe namna ya kumfikisha mwanamke, ikiwezekana ulilipe kabisa ujira wa kutosha
Ukimaliza hilo darasa wanawake woote watakuwa wako, watakuwa wanakigombania simchezo
 
!
!
Ukubwa au udogo wa mboo hutegemea na maku uliyokutana nayo. Vitabu vya Mungu vinasema, Bwana atakuletea mwenza wa kufanana nawe. Sio kufanana kwa sura tabia urefu n.k ni kufanana kwa kureciprocate, kwamba yupo mwanamke mahali ana maku ndogo ya nchi 4 ambayo pia ni nyembamba. Keep on serching utampata tu
 
G sport; kiss me na vijisundosundo vya kuwasha vyote viko mlangoni;; huko ndani hata ikiwa ndefu ni mbwembwe tu na mahitaji yaliyojengwa kichwani mwa wanawake wengi; kama inasimama na kukaza u can join our boat
 
Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake.
Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani.

Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini.
Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine hataki hata salamu na katika familia walio nitangulia kuzaliwa ni wanawake wote daaaah.! inaumasana ninapo muona mamayangu akitoa chozi pindi akiwa na waschana Wanaokuja mbele yake kwaajili yangu.

Pia hii imenifanya nishindwe hata kutembea mtaani kwa kuhisiwa mimi ni shoga ila tatizo langu sio kabisa yani daah..! Nawaza nitafanya vipi mapenzi na msichana ikiwa mimi nina UUME MDOGO saana nilipo upima kwa rula ni wa nchi 4 so hivi msichana yeyote anaweza kuhisi uume huu kweli daaah..
Why mimi waungwana naombeni msaada ni nini nifanye nimwambie mama akamueleze baba labda atanisaidia kupata dawa au kama kuna dawa ni wapi napata na ni ipi coz naona ninakoelekea sio kabisa.

Naombeni msaada naombeni

MziziMkavu kijana huyu, fanya kama sadaka hivi, sidhani kama fedha ataweza
 
G sport; kiss me na vijisundosundo vya kuwasha vyote viko mlangoni;; huko ndani hata ikiwa ndefu ni mbwembwe tu na mahitaji yaliyojengwa kichwani mwa wanawake wengi; kama inasimama na kukaza u can join our boat

Ni kweli, ila huyu inakuwa tatizo la kisaikolojia, hata huko nje atashindwa kupatumia.
 
Ninayoijua mimi ni kuwa ukishapaka unatakiwa kumuingilia mwanamke, baada ya majuma kadhaa ukitosheka na urefu na unene unaacha, sasa utakuwa tayari kuwaface na kuwaambia kuwa hiyo uliyopaka ni nini na kwamba ni ya kurefusha? Najua zitakuwepo zingine, ngoja mtaalamu aje MziziMkavu
 
Back
Top Bottom