Ushauri: Nimepishana maneno na mama mwenye nyumba naota vibaya

Hamia kwangu ila uswahili no 0715.......
Karibu karib aiseee uku utaota ndoto za ajabu kwa sabab autolala
 
Toka tupishane maneno na bi house, kuna mambo yana nitokea usiku naota na lazimishwa kumeza vitu fulani.
Nenda kwa mganga haraka akutibie mama mwenye nyumba yako ni mchawi anakulisha uchawi usingizini jihadhari asije kukuchukuwa Msukule.Ukitaka ushaurizaidi unaweza kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Back
Top Bottom