Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Kwa elimu hiyo uliyonayo nakushauri uhamie somalia
Mmhh usimtishe kuna watu nawajua kabisa walioenda huko. Ni darasa la saba lakini kwa sasa mambo yao super wapo hapa nchini wanafanya biashara kwa hela walizotolea jasho huko na kazi walizokuwa wakizifanya ni kuangalia wazee uwe na Moyo lakini, sijui kipanga nini kwenye majokofu hapo ni masaa sita lakini utautamkumbuka mpaka Babu uliyemuacha kijijini, ila kazi za kuunga unga zipo ila uwe imara kimwili na kiakili
 
Nakushauri kwa dhati ya moyo wangu. Jifunze udreva wa tax na mabasi kisha nenda Doha ama Dubai kafanye kazi ya udreva. Nafasi ni nyingi sana. Nchi hizo zimeendelea sana pia wageni ni wengi sana. Miaka ya hivi karibuni Ulaya pamekuwa si mahali pa kukimbilia. Nafasi za kazi hakuna na si kama zamani. Kwa zaidi njoo inbox nikushauri. Kuna jamaa zangu kadhaa wako huko watakupokea.
Mkuu naomba na Mimi unielekeze mkuu
 
Kwa elimu yako hiyo nakushauri hiyo nauli anzisha kilimo cha matikiti. Huko watu wanataka papers sijui utazipataje. Nayajua maisha ya kule na kile vijana wanafanya kwa kisingizio hawaonekani na wanaowajua. Ndugu yangu utaenda kudharirisha tu utu wako
It is not my business but am little bit curious. Paper's meaning what
 
Sasa kama unataka kwenda ughaibuni halafu hata neno paper hujajua linamaana gani italuwa shida kunielewa. Ulizia watu wako wa karibu walioighaibuni nini maana ya paper na umuhimu wake katika kujitafutia ridhili ukiwa huko
For now am not interested to go abroad may be in the future but I just want to know paper meaning what
 
Nakushauri kwa dhati ya moyo wangu. Jifunze udreva wa tax na mabasi kisha nenda Doha ama Dubai kafanye kazi ya udreva. Nafasi ni nyingi sana. Nchi hizo zimeendelea sana pia wageni ni wengi sana. Miaka ya hivi karibuni Ulaya pamekuwa si mahali pa kukimbilia. Nafasi za kazi hakuna na si kama zamani. Kwa zaidi njoo inbox nikushauri. Kuna jamaa zangu kadhaa wako huko watakupokea.
Matunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
 
Back
Top Bottom