Ushauri; Naweza kwenda TCRA kunithibitishia kama mke ni kweli ninachomzania?

haiwezekan mkuu labda uwende katika mtandao wake wa simu na ukiwa na barua kutoka police kuomba kuchunguzwa kwa uyoo mkewoo

saa sijui hawo police utawaambiaje......ila jaribu kuwaambia police mke wangu yuko na mawasiliano na mbowe so naomba wachunguzwe nahisi wanataka kupindua nchi.........yani apo ni faster tuu unapata kibali
Akiwa raia wakawaida 2 haitowezekana?
 
Habari wakuu, je yawezekana nikaenda TCRA wakanipa au kunionyesha walau hata message 1 ili kunithibitishia kwamba mke wangu amekuwa sio mwaminifu?,
Tafadhali usichafue hali ya hewa,
Karibuni sana.
Huna haja ya kwenda TCRA hata mimi ninaweza kukusaidia lakini tuandikishane mbele ya mashahid kuwa ukifa I wont be the one to blame.
Na pia kuna factors za ku consider kabla sijafanya hivyo nikiona ni mbaya sifanyi maana hata DNA tz hawakwambii ukweli kama ukweli utamu affect mtoto..m
 
Uke kvp fafanua, kama mchana kafanya halafu kaoga utapimaje
Watu wengine mnapenda kujichosha! Mwanamke anaweza kutongozwa akasema ndio wakati hamanishi hivyo anamambo yake tu, au anamchora huyo jamaa. Achana na simu ya mtu ni private!!!!!!!
 
Habari wakuu, je yawezekana nikaenda TCRA wakanipa au kunionyesha walau hata message 1 ili kunithibitishia kwamba mke wangu amekuwa sio mwaminifu?,
Tafadhali usichafue hali ya hewa,
Karibuni sana.
Nenda tu ata Tigo/voda kamhonge Meneja akuoneshe..... ila pole mkuu km una makuu
 
Watu wengine mnapenda kujichosha! Mwanamke anaweza kutongozwa akasema ndio wakati hamanishi hivyo anamambo yake tu, au anamchora huyo jamaa. Achana na simu ya mtu ni private!!!!!!!
Nikuprivate?, kwann usweka hadharani 2?
 
Back
Top Bottom