Ushauri: Nataka kuishi wilaya ya Mbinga

Wanafamilia waJF bado nipo kwenye utafiti na kutafuta undani kuhusu Mbinga safari hii naomba msaada juu ya geographical contents za Mbinga Je? Kuna chuo chochote cha elimu au ufundi? kuna shule ngapi kwa makadirio za secondary? Vipi kuhusu bei za nyumba kupanga? Umeme na maji hapo?........

Msaada kabla ya maamuzi yangu...
 
Acha uoga wewe.Nenda hayo mengine utayajulia huko.Mfungwa hachagui gereza.Beba koti zito basi,vingine utanunua na kuvipata hukohuko.
 
Aiseee mbinga pako good niliwaikwenda 2008 cjui kwa siku hizi ukiwa na kazi au biashara ni pazuri kwa kuishi
 
Mama Land niliagiza kitimoto nusu ilivyokuja nikakataa kuila nikawambia sijaagiza kilo 1nimeagiza nusu.Dar tunapunjwa sana Mbinga nimekulia toka Sec hadi chuo mzee alipostaafu ila hakufai kwa kuishi mzunguko wa pesa ni mdogo na wa msimu pesa mnakutana nayo msimu wa kahawa
 
Pengine ningeweza changia lakini nashindwa kwa sababu maelezo ya mleta uzi hayajitoshelezi, kwa mfano hujasema hasa unataka ujue juu ya nini huko mbinga vinginevyo is too general!
 
Pengine ningeweza changia lakini nashindwa kwa sababu maelezo ya mleta uzi hayajitoshelezi, kwa mfano hujasema hasa unataka ujue juu ya nini huko mbinga vinginevyo is too general!
Mkuu elezea tu kwa ujumla wake maana tunaopatamani ni wengi.

Kwa kuishi kupitia kilimo, ufugaji na biashara za kununua na kuuza haswa vyakula.
 
Back
Top Bottom