Prof alvin
Senior Member
- Jun 11, 2016
- 145
- 468
DuuuuhIli umsahau lazima 'umuue' huyo ex wako moyoni mwako.
Kubaliana na hali hiyo,tafuta mwingine (ila usiwe na haraka maana unaweza kusukumwa na hisia/kisasi ukamkubalia 'anayekutongoza' halafu baadaye ukajua kuwa hukumpenda ile ulimfanya kiliwazo)
Kama unamwamini Mungu, mshirikishe akupe wako.
Someone is waiting for you out there.