Ushauri: Nampenda ila nimeambiwa ana virusi vya UKIMWI

Ingekuwa wote hamna alafu mkaupata ndani ya mahusiano hapo ningesema komaa nae... lakini hata hamjaanza kitu umegundua... sepa...
 
5f6ed05de37cf6e4d6f0306b45d1334c.jpg
kula tu mkuu
 
Habari wakuu za masiku mingi

Marry ni binti mzuri hakika ni mzuri mno, ilichukua siku kadhaa kufanikiwa kuweka ukaribu nae, kaka ake marry ni rafiki angu ila siyo saana ni urafiki wa salaam na kupiga story mbili tatu kisha kila mmoja akashika lake, marry ni mkimya, hana makuu, nilianza kwa urafiki tu kupitia ukaribu wangu na kaka ake, (japo hatukuwa na ukaribu ki vile) kaka ake marry amenikuta na marry zaidi ya mara kumi mahali tunapiga story huku marry akitabasam na kunilalia lalia kifuani pangu, (guys she is so beutifu) ukweli ni kwamba sijawai ku do na marry zaidi ya romance na mambo mengine ya mahaba (I believe she is virgin)

Juzi nilionana na kaka ake marry baada ya salaam mbili tatu akanambia naona unaukaribu sana na marry nikamwambia yah butshe is just a friend, akanimbia ok be care full nikamuuliza kwa nn rafiki akaniambia marry ni mwathirika wa ukimwi amezaliwa nao na hii siri ni ya familia (marry ni mtoto wa mwisho kwao,) kwa kweli nimeumia sana kusikia haya maneno maana real I love her, natamani nimuulize ila najiuliza atanifikiliaje, natamani nimwambie tukapime but she is virgin najua ataniuliza simwamini hata msichana bikra,

Guys i love marry but marry ni mwathirika (am not sure
kwan tatzo liko wap kupima si bure tu??
mwambie mkacheki afya zenu after then utafanya maamuz sahihi
 
Kaka gani huyo anatoa siri ya familia, siri ya mdogo wake kirahisi namna hiyo!! Au ni kaka wakufikia!! Angetaka si angekuchimba mikwara tu na sio kutaja kitu sensitive namna hii!!
 
It may not be true brother, labda kaka anataka kukuachanisha nae, kwani unajua kuwa wazazi wana ukimwi!? Siku zote kaka huwa na wivu mkali kwa dada zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom