Ushauri: Nampenda ila nimeambiwa ana virusi vya UKIMWI

sizonjemadawa

JF-Expert Member
Feb 11, 2017
1,053
1,304
Habari wakuu za masiku mingi

Marry ni binti mzuri hakika ni mzuri mno, ilichukua siku kadhaa kufanikiwa kuweka ukaribu nae, kaka ake marry ni rafiki angu ila siyo saana ni urafiki wa salaam na kupiga story mbili tatu kisha kila mmoja akashika lake, marry ni mkimya, hana makuu, nilianza kwa urafiki tu kupitia ukaribu wangu na kaka ake, (japo hatukuwa na ukaribu ki vile) kaka ake marry amenikuta na marry zaidi ya mara kumi mahali tunapiga story huku marry akitabasam na kunilalia lalia kifuani pangu, (guys she is so beutifu) ukweli ni kwamba sijawai ku do na marry zaidi ya romance na mambo mengine ya mahaba (I believe she is virgin)

Juzi nilionana na kaka ake marry baada ya salaam mbili tatu akanambia naona unaukaribu sana na marry nikamwambia yah butshe is just a friend, akanimbia ok be care full nikamuuliza kwa nn rafiki akaniambia marry ni mwathirika wa ukimwi amezaliwa nao na hii siri ni ya familia (marry ni mtoto wa mwisho kwao,) kwa kweli nimeumia sana kusikia haya maneno maana real I love her, natamani nimuulize ila najiuliza atanifikiliaje, natamani nimwambie tukapime but she is virgin najua ataniuliza simwamini hata msichana bikra,

Guys i love marry but marry ni mwathirika (am not sure
 
Mshukuru kaka ake amekuokoa. Just stay away from marry... but anza pole pole kumpotezea..
Lakin kuwa kuna theory nyingine.. usikute kaka amekwambia tu ili ukar mbali na mdogo wake.
 
Hiki Kiswahili ni cha Kaskazini na kaka yake atakuwa mchaga isijekuwa kaona we huna hela na dada yake ni mrembo hastahili kuolewa na mtu ambaye uchumi haujakaa sawa akaona akupoteze ili amuunganishe na pedezhee
 
Kwanza pole kwa kuvunjika moyo kusikia hayo.

Lakini, kunaweza kuwepo na nadharia mbili. Moja, Jamaa anataka kuondoa ukaribu kwa kuwa labda hapendi. Kuminyiwa dada inauma sana, kiukweli. Kwa hiyo, labda jamaa anakupotosha ili upite mbali na dada yake

Pili, inawezekana kweli Marry ana ngwengwe. Jaribu kuulizia kama wazazi wake wameathirika pia. Kama jibu litakuwa ndiyo, basi uwezekano wa Marry kuwa muathirika upo.

Sijajua wewe ubampemda Marry au unapenda UBIKRA wake. Kama unapenda ubikra wake japo huna uhakika nao, basi tumia hata kondom. Bikra pia inatolewa kwa kondom. Jikinge zaidi Mkuu. Ngwengwe siyo mchezo.

Ukitaka kufikia tamati juu ya jambo hilo, muombe Marry mkapime. Mbembeleze kiutaratibu, mwambie siyo kwamba humuamini bali unataka uthibitisho wa hali zenu za kiafya. Mwambie wewe unaweza hata kuwa mgonjwa bila kujijua.

Narudia maneno ya Kaka yake Marry;
"TAKE CARE"

Nakushauri uwe unaenda na Marry maeneo ambayo kaka yake hawezi kupita. Ni aibu mtu kumkuta dada yake kakumbatiwa kijinga.
 
Hiki Kiswahili ni cha Kaskazini na kaka yake atakuwa mchaga isijekuwa kaona we huna hela na dada yake ni mrembo hastahili kuolewa na mtu ambaye uchumi haujakaa sawa akaona akupoteze ili amuunganishe na pedezhee
Mkuu maneno yako yanazidi kuutatiza moyo wangu
 
Mshukuru kaka ake amekuokoa. Just stay away from marry... but anza pole pole kumpotezea..
Lakin kuwa kuna theory nyingine.. usikute kaka amekwambia tu ili ukar mbali na mdogo wake.
Hizo theory mbili ndizo zinazonichanganya niiamini ipi
 
Ahsante mkuu ushauri wako ni mzuri
 
Nshajua wapenda kwenda kavukavu..
Matangazo ya kutumia kinga hamyaoni?
 
Ukitaka kujua ukweli lala nae bila kinga hlf kapime wewe miezi mitatu baadae
 
Kama unampenda kweli kuna jinsi ya mwathirika na asie mwathirika wanaweza ishi. Nendeni mkamuone daktari atawashauri zaidi. Ila kama kweli unampenda, sio ishu za tamaa.
 
Hivi wenzetu hizi bahati mnazipataje?

Wenzio wapenzi wetu hata mafua hawajawahi kupata ila wewe umepata bahati ya kumpata mwenye UKIMWI.

Hongera sanaa mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…