professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Habari wana bodi, moja Kwa Moja niende kwenye mada.
Dunia ina badilika Kila siku,dunia inahitaji mawazo na uvumbuzi mpya kutokana na jamii husika.
Napendekeza Kuwa kuanzia 2024 Mfumo wa kupima Wanafunzi kwa njia ya Test, assignment, quiz na university examination ufutwe mana naona una changia kuzalishww wahitimu wasio na tija kwenye field husika.
Napendekeza Kuwa wanafunzi wapimwe kwa uwezo wa present new ideas, yaani ili mwanafunzi avuke semester moja kwenda nyingine achujwe kwa idea yake mpya na idea hiyo iwe practical oriented.
Yaani mfano mtu ana soma medicine kozi sita kwa semester moja anatakiwa kwenye Kila kozi a present new idea itayo kuwa problem solver.
Mfano zaidi kijana anachukua shahada ya ualimu anatakiwa a toe idea itayo solve tatizo fulani kwenye kada yake ya elimu.
Na mwanafunzi atae shidwa atapewa Carry over ya hiyo kozi.
Ni Mimi professional ethics ( Third Year student) moja ya mwanafunzi Katika Chuo kikuu kimoja hapa nchini( I'm taking bachelor of science with education)