she-eagle
Member
- Mar 2, 2016
- 43
- 43
Aiseee....! Huenda anamke\au mchumba mwingine maaana sio hali ya kawaida.
Ila pia kuna watu Wa mapenzi ya msimu. Hususani akishapata game.
Cha msingi akomae kumbadilisha taratibu Huyo jamaa!! Au kumchunguza Huyo jamaa.
Unaweza badilisha mwanaume nappy tu tena utotoni ...huwezi badilisha tabia yake.
Back to maimatha mwambie mdogo wetu aende taratibu na huyo mtu wake, apate muda wa kumfahamu zaidi. She should not offer her cookie yet otherwise atakuja ku regret unless na yeye anapitisha tu muda.