spetinaty
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 229
- 125
Kumbe na ww ni bashite eee? Nitajie mamlaka iliyotajwa apo ni ipi, acha kutumia hisiaAcha kuzitukana mamlaka. ww usiyebahatika
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Kumbe na ww ni bashite eee? Nitajie mamlaka iliyotajwa apo ni ipi, acha kutumia hisiaAcha kuzitukana mamlaka. ww usiyebahatika
kAMA nAPE AMEKUBALI KUWA YEYE SI MAMLAKA YA KINIDHAMU KWA RC BASI HAKUWA NA SABABU YA KUTEUWA KAMATI. amebeba jukumu la waziri simba cha wene. Yeye angetembelea na kupeleka hoja zake kwa mamlaka husika bila kuleta maneno mengi yasiyo fuata taratibu za kiuongozi. Nape anaweza kuonekana shujaa wa leo lakini sidhani kama ndiyomuelekeo wa uongozi wa pamoja kama waziri. Wote tunajifunza ngoja tuone mwishoSure Nape kachapa kazi ndani ya ulingo wake. Hana haja kujiuzuru kwa uro ofa daudi. Waache wenyewe... na ASIYE SIKIA LA MKUU ATAVUNJIKA GUUUUUUU
Ogopa sana kukejeri maumbile ya mtu. Insta from Mage. Muulize huyo mage kinachompeleka saluni ni nini? Hamna tofauti na Askofu anayemkejeli Eloi muumbaji wetu juu ya utasa na ugumba.
kAMA nAPE AMEKUBALI KUWA YEYE SI MAMLAKA YA KINIDHAMU KWA RC BASI HAKUWA NA SABABU YA KUTEUWA KAMATI. amebeba jukumu la waziri simba cha wene. Yeye angetembelea na kupeleka hoja zake kwa mamlaka husika bila kuleta maneno mengi yasiyo fuata taratibu za kiuongozi. Nape anaweza kuonekana shujaa wa leo lakini sidhani kama ndiyomuelekeo wa uongozi wa pamoja kama waziri. Wote tunajifunza ngoja tuone mwisho
FefefefefefefeFafafafffafafafa
Pamoja kazi nzuri anazofanya Nape lakini katika suala la Makonda ametumia mihemko na chuki binafsi baada ya Makonda kumtaja "mdogo wake" kujihusisha na ngada.
Nape amefika Clouds na kusema, Mh. Makonda amenajisi tasnia ya habari . Hivyo, alishadraw conclusion kuwa Makonda kakosea. Sasa tume ameiunda ili ikampe majibu gani zaidi?
Unafiki ni janga la Taifa alipoteuliwa si mlisema Rais kakosea sana kumteuwa leo hii mmebadilika kama kinyonga,watz punguzeni umimi na roho mbaya aisee,Jana kazi uliyofanya ni kubwa sana. Kazi ya kulaani na kusema uvamizi ule ni najisi pamoja na kuunda Tume ya uchunguzi ni jambo kubwa sana. Nimesikia ulivyohojiwa na BBC umesema wewe siyo mamlaka ya nidhamu kwa RC. Pamoja na kwamba unafanya wajibu wako km Wazir mwenye dhamana hiyo. majibu mazuri sana hayo yanatoka kwako..
Nape licha ya ukali wa bwana yule .. but umejitoa mhanga kupambania haki ya habari ikiwa sambasamba ya kumuanika utoto wa dogo aliyekuja mjini na gari la mkaa.
Ushauri
Mhe: nimeona ushauri wa watu wengi eti wanakutaka ujiuzulu. Mimi NASEMA HAPANA. USIJIUZULU NAPE. kwanza unajiuzulu kwanini?? Yule dogo kavamia media house, wewe kama waziri umelaani na kuunda tume. wajibu wako km Taifa tumeona. Ungekuwa bubu km yule mwenye dhamana ya mapolisi tungelalamika.
Nape usijiuzulu kabsa..uwepo wako kwenye baraza la mawaziri ni mzuri ni vyema sana kwa Taifa. bora wewe ambaye siyo muoga uwepo humo kulikoni wabakie ndiyo mzee peke yao itakuwa balaa. Wajibu wako umetimiza: mengine ni kusubilia bosi wako anasemaje: asipomtumbua itakuwa udhaifu wake.
Nape yule dogo kaja mjini na gari la mkaa kwahiyo ulimbukeni kama huo hatushangai:
ushauri wa mwisho:
leo Nape tunakuita shujaa wetu regardless vyama vyetu kwa maamuzi mazuri uliyoyafanya, but hilo pia halifuti udhaifu wako wa kukubali bunge live liondoke kisa kufata maelekezo ya mkubwa yule pale ulituudhi sana.
Nape setting standard kwa huyu Jamaa..Juzi kawaweka wabunge wa wapinzani mahabusu na jela, jana kawaweka mahabusu wabunge wa chama chenu..kesho na kesho kutwa jiandaeni na nyinyi mawaziri mtakao mpinga kwenda mahabusu. jamaa nabidi adhibitiwe kabla ijawa too late:
JK hizo cheche ndiyo hizi ulizosema au:
Tatizo dogo kaja mjini na gari mkaa.. UKIKOSA MALEZI BORA UNAKUWA KITUKO TU.
BADO TUNATAKA CHETI.
FefefefefefefeFafafafafafafafafafafafafafafafa
Well said nape is one ov the best ministers in the cabinet recently
Nape anausafi gani kuliko makonda...tatizo la watanzania wengi wao wanafiki wakubwa sana..viva makonda Viva Magufuli..Viva ccm
Mh Nape hana ushujaa wowote na tulishasema toka awali kuwa hakuna uvamizi pale Clouds Media zaidi ya propaganda tu za media zetu hapa tz.
Na namlaumu sana Mh Nape kulikuza hili jambo as if kuna vita vimetokea sijui hata sikumuelewa kabisa hapa sio Afghanistan au Syria ambako ndiko matukio uvamizi unafanyika na mauaji.
Pale Clouds watu wameenda kikazi Mh Nape na wengine tunaita uvamizi kisa kuna askari wenye silaha.
Na hata hiyo Kamati iliyoundwa sijui kazi yake nini Mh Nape soma salama za nyakati
Checheeeeeeeeeee.. watu wanapambana kuwaonyeshea mademu zao kuwa wao ngangari!! Hadi anahiari kuharibu ajira yake!! ChecheeeeeeeMagufuli anatema che! cheeeeeeee