Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,906
Iyo kitu sahau ndugu
Jeshi linaitaji Wasomi Wachache Ila ManPower Kubwa
Jeshi linaitaji Wasomi Wachache Ila ManPower Kubwa
kazi ya polisi muda mwingi unakua field.. ni wachache tu wanaokuwa na administrative posts katika ofisi.kwani polisi hawana ofisi
Iyo kitu sahau ndugu
Jeshi linaitaji Wasomi Wachache Ila ManPower Kubwa
Kwa nini kitu cha wazi kama hiki watu hawakioni?Maoni yako ni mazuri lakini inakuwa ngumu kutekelezeka kutokana na nature ya kazi za jeshi hilo mfano wote wakiwa na Degree au Master's au CPA....sasa nani atakaye kubali kufanya Doria za usiku. Ulinzi au kukamata watuhumiwa wa makosa ya jinai.
Kila kada ina umuhimu wake kulingana na mahitaji na ajira zinatangazwa kulingana na mahitaji.
Heshima Mkuu!Kwanza kabisa unapoandika "your wrong" wakati unatakiwa kuandika "You are wrong" wewe ndiye uliyekosea.
Unanipa shaka kama una elimu ya hiyo lugha uliyoandika au yoyote.
Na kama nina shaka na elimu yako, nina shaka utaweza kunielewa.
Sasa chadema imeingiaje hapa kama sio utahira tu.Nilichojifunza kwenye hii Post
1.Mbowe atatawala Milele chadema
2. Vijana Wengi wa Chadema hawana Akili
3. Vijana wa Chadema hawajui wage bill kadri ngazi ya Elimu inavyoongezeka inakua kubwa.
4.Vijana wa Chadema hawajui kuwa wenye ngazi ya shahada huwa wanaandiliwa kuwa viongozi wa jeshi hawakai Lindoni
5. Chadema haitashinda Uchaguzi wa mwaka 2020, 2025, 2030 na kuendelea.
6.ACT kitakua chama Kikuu cha Upinzani.
Kwa nini kitu cha wazi kama hiki watu hawakioni?
Hivi watu hawajiulizi,utility ya hiyo degree itakuwaje?
Je, serikali itapata "Return On Investment" kwa kuajiri watu wenye degree na kuwapakazi za doria tu?
Je, opportunity cost ya sekta nyingine zitakazohitaji hasa watu hao wenye degree na kuwakosa, wakati wako underutilized polisi itakuwaje?
Je, gharama ya kuwalipapolisi hao mishahara ya degree wakati hawana kaziza kuhitajidegree itawezaje kuhalalishwa katika nchiambayo ina ukata?
Je, wale waliotegemea kufanya kazi za doria kama askari bila degree watafanya nini?
Je, kwenye doria kuna kazi gani hawa askari wenye degree wataweza kuzifanya ambazo wale waliosoma Chuo Cha Polisi Moshi watashindwa?
Je, hao wenye degree wenyewe zinahusiana na kazi ya polisi au degree mradi degree tu?
Kamazinahusiana na kazi ya polisi, wapo kiasi hicho?
Kama hazihusiani, kwa nini zihitajike na kunyima sekta zinazofanana nazo?
Je, wanaelewa kwamba watawala hawataki askari wa ngazi za chini wawe na elimu kubwa kwa sababu elimu kubwa inaleta ubishi na askari anatakiwa kutii tu akipewa amri?
Ningekuwa nina mamlaka ningeajiri darasa la saba na form four waliofeli,hao ndiyo watu unaoweza kuwatuma na kuwatumia kijeshi.
Haya majeshi yameharibika kwa sababu ya hao wenye digrii hawana uaskari wamefuata ajira tu.
Heshima Mkuu!
Shukrani kwa kuusahihisha huo uandishi wa hovyo.Ni lazima upate shaka juu ya elimu yake kwasababu ya uandishi wa hivyo.Binafsi napatwa na mashaka juu ya elimu (Si kwa wingi wa vyeti) ya baadhi ya wanazuoni mamboleo wa siku hizi.
Hivi mtu mwenye IQ yake serious anaandikaje xna badala ya sana, p badala ya poa, coz badala ya because, xaxa badala ya sasa, your badala ya you are nk?.Huku ni kuishushia hadhi Jamii Forums.Kutwa kurekebishwa na Faiza foxy ila hatubadiliki, kwanini lakini?.
I'm thinking.
Kwa nini kitu cha wazi kama hiki watu hawakioni?
Hivi watu hawajiulizi,utility ya hiyo degree itakuwaje?
Je, serikali itapata "Return On Investment" kwa kuajiri watu wenye degree na kuwapakazi za doria tu?
Je, opportunity cost ya sekta nyingine zitakazohitaji hasa watu hao wenye degree na kuwakosa, wakati wako underutilized polisi itakuwaje?
Je, gharama ya kuwalipapolisi hao mishahara ya degree wakati hawana kaziza kuhitajidegree itawezaje kuhalalishwa katika nchiambayo ina ukata?
Je, wale waliotegemea kufanya kazi za doria kama askari bila degree watafanya nini?
Je, kwenye doria kuna kazi gani hawa askari wenye degree wataweza kuzifanya ambazo wale waliosoma Chuo Cha Polisi Moshi watashindwa?
Je, hao wenye degree wenyewe zinahusiana na kazi ya polisi au degree mradi degree tu?
Kamazinahusiana na kazi ya polisi, wapo kiasi hicho?
Kama hazihusiani, kwa nini zihitajike na kunyima sekta zinazofanana nazo?
Je, wanaelewa kwamba watawala hawataki askari wa ngazi za chini wawe na elimu kubwa kwa sababu elimu kubwa inaleta ubishi na askari anatakiwa kutii tu akipewa amri?
That is neither here nor there like a boomeranging yo-yo that is not credible even in Somalia.hapo sasa ndio utaishia kuwa na jeshi lenye nguvu na weledi kama jeshi la somalia
Even greater nonsense is calling something nonsense summarily with neither explanation nor rationale, neither rhyme nor reason.nonsense
Mazee unajua tofauti ya manpower na power?kwani nani kakuambia msomi hiyo power hana? power anayo tena yeye ana utaalamu na ujuzi mhimu kitu ambacho huyo meingine anakikosa
Waajiri tu kidato cha 4&6wengi,cheti,diploma na degree wachache
Nilichojifunza kwenye hii Post