Ushauri kwa Mkurugenzi mpya TBC1, Dkt. Ayub Rioba

Ni mchambuz mzuri pia kwenye Maswala ya Siasa.

Nachompendea, akiwa kwenye mijadala ya TV, anajua kujenga hoja akiwa anahojiwa/Interview. Naamini ataibadilisha TBC.

Ila tatizo la TBC kila kitu lazima kiratibiwe na Serikali ndio wapewe go ahead.
 
Aanzishe pia channels za watoto. Tbc inatumia kodi za wazazi wetu na sisi wenyewe tukinunua juice!
 
b5820a721b5f0fb13abbdc47ffc76a29.jpg

Kwanza nianze kwa kukupongeza kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa television ya wanyonge!Na hii naweza kusema ni kutokana na uzoefu ulionao kwenye sekta hii ya habari na weledi mkubwa ulionyesha katika kipindi chote..

Wakati unajiandaa kutimiza majukumu yako mapya,ningependa kuangazia maeneo machache ili kuiboresha TBC ambayo naiona kama ishapoteza muelekeo..Kama kuna mengine wana JF watayasema hapa.

1-Boresha ubora wa picha wa TV,picha za TBC hazina ubora na hata wakati mwingine studio kunaonekana giza hasa wakati wa taarifa ya habari!ninaweza kusema watangazaji wa tbc wote wanaonekana weusi wanapotangaza au wanapokuwa studio!

2-Boresha vipindi ili viendane na wakati..mfano mzuri ni ubunifu hasa kwenye vipindi vya vijana,jaribu kuwakilisha mambo ya msingi kwa njia rahisi na hasa ukiwalenga vijana ambao ndio wengi na watazamaji wakubwa wa TV!unaweza ukajifunza clouds TV au EATV

3-Boresha maslahi ya wafanyakazi wako..Kwa jinsi ninavyoelewa,inawezekana kabisa kituo cha TBC kina watangazaji wengi ila maslahi na delivery ni poor!Ni bora ukawa na watangazaji wenye tija na wachache wenye ubunifu ili wanendane na ushindani wa media hapa nchini!

4-Kuonyesha bunge live..jitahidi kadri unavyoweza kutowanyima watanzania kile wanachokitaka..fanya live coverage ya matukio yote ya kitaifa na muhimu hasa bungeni!Ni wazi watanzania wanapenda kuona mijadala hii moja kwa moja!

5-la tano nitakwambia siku nyingine,ila anza na hayo machache kwanza ili tuone kasi yako!
Umesahau kuwa shauri wanasiasa waheshimu taaluma Za watu!sio Kila kitu wana ingiza siasa!
 
Hivi wadau TBC 1 na TBC 2 si kitu kimoja kama ni kitu kimoja hii TBC 2 mimi ningeshauri tuonyeshewe BUNGE huko coz TBC2 hinapiga mziki asubuhi mpaka jion kweli kabisa tunanyimwa haki yetu ya muhimu kabisa bunge kuangalia ni haki yetu na haki aiyombwi wakuu
 
b5820a721b5f0fb13abbdc47ffc76a29.jpg

Kwanza nianze kwa kukupongeza kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa television ya wanyonge!Na hii naweza kusema ni kutokana na uzoefu ulionao kwenye sekta hii ya habari na weledi mkubwa ulionyesha katika kipindi chote..

Wakati unajiandaa kutimiza majukumu yako mapya,ningependa kuangazia maeneo machache ili kuiboresha TBC ambayo naiona kama ishapoteza muelekeo..Kama kuna mengine wana JF watayasema hapa.

1-Boresha ubora wa picha wa TV,picha za TBC hazina ubora na hata wakati mwingine studio kunaonekana giza hasa wakati wa taarifa ya habari!ninaweza kusema watangazaji wa tbc wote wanaonekana weusi wanapotangaza au wanapokuwa studio!

2-Boresha vipindi ili viendane na wakati..mfano mzuri ni ubunifu hasa kwenye vipindi vya vijana,jaribu kuwakilisha mambo ya msingi kwa njia rahisi na hasa ukiwalenga vijana ambao ndio wengi na watazamaji wakubwa wa TV!unaweza ukajifunza clouds TV au EATV

3-Boresha maslahi ya wafanyakazi wako..Kwa jinsi ninavyoelewa,inawezekana kabisa kituo cha TBC kina watangazaji wengi ila maslahi na delivery ni poor!Ni bora ukawa na watangazaji wenye tija na wachache wenye ubunifu ili wanendane na ushindani wa media hapa nchini!

4-Kuonyesha bunge live..jitahidi kadri unavyoweza kutowanyima watanzania kile wanachokitaka..fanya live coverage ya matukio yote ya kitaifa na muhimu hasa bungeni!Ni wazi watanzania wanapenda kuona mijadala hii moja kwa moja!

5-la tano nitakwambia siku nyingine,ila anza na hayo machache kwanza ili tuone kasi yako!
La tano mimi namwambia sasa nitaanza kuangalia TBC baada ya kupiga marufuku nyumbani kwangu kuwakuta wakiangalia TBC. Maana walisahau kwamaba ni chombo cha umma na kukiendasha kichama zaidi.
Ukianza kazi itapendeza ukatuelewesha ni vipi utarudisha heshima ya TBC kama kipindi cha Tido. Ukiwafuata wanasiasa utakuwa umefeli. Karibu uwatumikie watanzania walio kuwa wamenyimwa haki.
 
Halafu wakuu uyu jamaa hakuwai kua mtangazi kweli au alikua anahusika na vipindi flan vilikua vinarushwa live maana hii sura sio ngeni kbs
 
la 5 haifufue TBC Taifa hiende kisasa zaidi misamiati na nyimbo za zamani zipunguzwe
la 6 Staafisha wazee wote ajiri vijana wataleta ubunifu na kukidhi mahitaji ya sasa kwasababj wazee wanafanya kazi kwa mazoea jins alvyokua anaendesha kipindi 1998 ndio jinsi anaendesha hadi sasa.
Asante.
 
Arudishe hadhi ya TBC ya Tido na kwa kufanya hivyo atafanya watu wengi waanze kuitazama TBC na kufanya Tv kupata matangazo mengi zaidi. Hilo atalifanya kwa kuacha kutangaza habari za ccm na viongozi wa serikali tu. Wa balance habari kama wakati wa Tido na kwa kipindi hiki cha JPM na majibu sioni madhara yoyote kwa ccm.
 
Nhnnnn....huyu jamaa ninavyomwelewa kwa uchamvuzi wake kisiasa yaweza kumkuta ya Tido....unless ajifunze unafiki.
 
b5820a721b5f0fb13abbdc47ffc76a29.jpg

Kwanza nianze kwa kukupongeza kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa television ya wanyonge!Na hii naweza kusema ni kutokana na uzoefu ulionao kwenye sekta hii ya habari na weledi mkubwa ulionyesha katika kipindi chote..

Wakati unajiandaa kutimiza majukumu yako mapya,ningependa kuangazia maeneo machache ili kuiboresha TBC ambayo naiona kama ishapoteza muelekeo..Kama kuna mengine wana JF watayasema hapa.

1-Boresha ubora wa picha wa TV,picha za TBC hazina ubora na hata wakati mwingine studio kunaonekana giza hasa wakati wa taarifa ya habari!ninaweza kusema watangazaji wa tbc wote wanaonekana weusi wanapotangaza au wanapokuwa studio!

2-Boresha vipindi ili viendane na wakati..mfano mzuri ni ubunifu hasa kwenye vipindi vya vijana,jaribu kuwakilisha mambo ya msingi kwa njia rahisi na hasa ukiwalenga vijana ambao ndio wengi na watazamaji wakubwa wa TV!unaweza ukajifunza clouds TV au EATV

3-Boresha maslahi ya wafanyakazi wako..Kwa jinsi ninavyoelewa,inawezekana kabisa kituo cha TBC kina watangazaji wengi ila maslahi na delivery ni poor!Ni bora ukawa na watangazaji wenye tija na wachache wenye ubunifu ili wanendane na ushindani wa media hapa nchini!

4-Kuonyesha bunge live..jitahidi kadri unavyoweza kutowanyima watanzania kile wanachokitaka..fanya live coverage ya matukio yote ya kitaifa na muhimu hasa bungeni!Ni wazi watanzania wanapenda kuona mijadala hii moja kwa moja!

5-la tano nitakwambia siku nyingine,ila anza na hayo machache kwanza ili tuone kasi yako!
aiseee TV ya taifa utazani tvTUMAINI
 
Namba 4 unamuonea tu
Ila mengine kiasi Fulani sawa
Anamwonea kivipi wakati Nape alisema TBC ndiyo walipendekeza hatua ya kusitisha kuonyesha bunge live? Sasa kwa kuwa yeye ndiye bosi mpya wa TBC, atengue uamuzi huo kwa kuweka kipaumbele cha utoaji wa taarifa na habari kwa wakati kwa wananchi, wamiliki halisi wa TBC na serikali kwa ujumla.
 
Namba 4 haimuhusu....hana maamuzi juu ya hilo kabisa
Inasemekana ni TBC ndiyo waliamua. Sasa ni muda mwafaka kuangalia upya maamuzi hayo. Ni mtihani wa kwanza wa mkurugenzi mkuu. Wa pili ni kuifanya TBC iwe ya umma kweli na siyo yenye mwegemeo wa kisiasa au chombo cha kutumiwa na makundinya kisiasa.
 
Back
Top Bottom