Ushauri kwa huyu ex-wangu

aa68c0463dbec82a3126f9db70714b8c.jpg
 
umerogwa wewe kuna mdudu kichwani ushauri gani unataka sasa kama kweli wewe ni mtu mzima basi kamchukue na mimba na mtoto awe wako sindio una maanisha we cha msingi. kausha kama humjui vile na akikuomba laki mtummie elfu umi akiomba kumi tuma 5, kwasababu yule mwana mke ana tamaa na maisha angetulia na huyo mtoto si ange kuwa wako na kuhusu kutolewa mahali si mnge kaa chini wazazi wake wange kuvummilia tu.we mpotezee kama humjui na ili ajue kwamba maisha ni foleni we piga pesa kwanza na uishi kiboss ili ajue somo vizuri kuwa yeye ni mjinga
 
Ustaarabu na uvumilivu wa maisha tunayo sisi wanaume ndio maana tunaweza kuishi na mwanake asie na kazi ata maisha yote, sasa geuza hii story upande wa pili uone balaa lake
Ni kweli mkuu, hata wiki moja haiwezi kuisha utakuwa ushamfukuza/ushakimbiaaaa
 
Back
Top Bottom