Ushauri kwa Chadema: Fanyeni uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu wake baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025. Msiwape fursa machawa wa CCM nafasi ya hujuma

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,242
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.

Mtakumbuka machawa walivyoshangilia mtafaruku aliouleta Msigwa, kuna cha kujifunza hapo.
 
Kama mnaogopa uchaguzi wa NDANI wa nje ndo mtauweza
Kwanini Cdm imekuwwa na watu wajinga hivi
Inasikitisha Sana
 
Kwanini Cdm imekuwwa na watu wajinga hivi
MATUSI YA NINI? JENGA HOJA NA SI MATUSI. HUJAJIBU HOJA HAPO. let me spare you for the time being!
To me kuna sababu ya msingi kuhairisha uchaguzi maana chaguzi zinavuruga vyama particularly anapokuwepo jitu lenye mapesa kutoka hazina kuhonga wasio na misimamo kwenye fragile moments kama hizi!
 
Hii ni fragile moment. CCM wanaangalia wapi chadema itadondoka na wameshaona kizuizi kikubwa ni Mbowe. Haongeki. Kwa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais na wabunge, nawashauri postpone uchaguzi wa Mwenyekiti na makamu wake mvuke salama kipindi hiki.

Mtakumbuka machawa walivyoshangilia mtafaruku aliouleta Msigwa, kuna cha kujifunza hapo.
kwamba washupaza shingo wa chadema wanachakujifunza kabla shingo haijakatika, right?🐒

wameanza lini kwanza kujifunza bila mihemko ambayo huwathiri wao wenyewe?🐒

kwamba kundi la mwenyekiti na Makamu mwenyekiti watakua wangwana kiasi cha kuzingatia ushauri wako, right?🐒

mshauri kwanza anae endelea na mikutano binafsi kwa platform ya chama, na anae omba omba kuchangiwa michango mara kwa mara kwa maslahi na manufaa binafsi kwa platform ya chama aache hiyo tabia kwanza 🐒
 
MATUSI YA NINI? JENGA HOJA NA SI MATUSI. HUJAJIBU HOJA HAPO. let me spare you for the time being!
To me kuna sababu ya msingi kuhairisha uchaguzi maana chaguzi zinavuruga vyama particularly anapokuwepo jitu lenye mapesa kutoka hazina kuhonga wasio na misimamo kwenye fragile moments kama hizi!
hakuna sababu ya msingi kuahirisha Uchaguzi ndani ya chadema 🐒

chama gani sasa kina kua influenced na external factors kuahirisha Uchaguzi wa ndani, that is very weak and useless party 🐒
 
Naanza kuona tatizo. Mbowe amekisaidia sana Chadema hadi hapo ilipofika. Lakini kinachoendelea hapo Chadema kwa sasa kinasikitisha sana.

1. Kwamba ktk CDM nzima asiye hongeka ni Mbowe pekee na wengine wote wanahongeka. Lissu, Sugu, Mnyika wanahongeka. Je, mlijaribu kuwahonga na wanahongeka? au ni yale yale ya Museveni na Kagame?.

2. Kwanini chama cha DEMOKRASIA kiogope kufanya uchaguzi?.

3. Sisi CDM tunajifunza nini pale Msigwa anaposema kwamba kuna mtu pale ofisini analamba viatu vya Mbowe na muda mfupi baadae anaenda kuungana na makamu mwenyekiti kwenye mkutano wa hadhara Singida.

4. USHAURI WANGU. Mbowe atumie busara. Ang'atuke. Au aitishe uchaguzi ulio huru na haki . Akishinda sawa na akishindwa hiyo ndiyo demokrasia.
 
Kwanini chama cha DEMOKRASIA kiogope kufanya uchaguzi?.
hakuna anyeogopa kufanya uchaguzi, Hakiogopi katu the issue is this is a fragile period..... chaguzi zote dunia nzima zinakuwa na hekaheka. Kwa nchi ambayo rais anahonga pikipiki, ananunua wapinzani, mwenye akili lazima kuwa macho......
 
Back
Top Bottom