Ushauri: Kaweka Picha ya Mwanamke Mwingine kwenye Profile yake lakini bado ananitaka

Mwanaume kataka mtoto kwa hiyari yake kwanini usimpatie, ingekuwa hataki tungesema kitu. Kwa jibu alilo MPA ana haki kuchepuka kwenda kutimiza haja zake kwingine
 
Ushauri wangu kwako @Sabry001 usijifanye kuumia sana kwa kitu kisichokuhusu kama ni kweli unayosema. Chochote kitakachotokea kwa hao watu kuna siku utakuja kulaumiwa milele kuwa wewe ndio chanzo.

Mambo ya wapenzi waachie wenyewe. Ni kama kushauri wanandoa, siku wakipatana wataanza kukusema jinsi ulivyokuwa unashauri hovyo.

Waache wenyewe waamue mambo yao.
 
Mianaume ya aina hiyo ni migumegume!!! Futa namba yake haraka kesho kutwa atamwekea profile pcha wasap ya
Manzi mwingine!!
Hapo ndipo akili zitamkaa sawa.
 
usilogwe mwanaume anakuambia umzalie!! wewe umekuwa wa mbegu tuu basi?? are you seedco ltd kama kazi yako ni kuzalisha mbegu bora tuu
 
Hivi ww mwanaume ushoga na mwanamke umetokea wapi?
Hivi huyo jamaa akija kukutongoza ww utamlaumu? Mm navyoamin hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke na ww unatafuta fursa kwa huyo dada.

Acha wazae kwakuwa wote age goo! Acha kuzibia riziki za wenzio
 
Mwambie huyo "shosti" wako aache uduwanzi...... atumie akili na atambue thamani yake

Kuingilia mapenzi ya watu ni sumu,Wakirudiana huyo rafiki yake atamwambia huyo mbaba ujinga alio kuwa anashauliwa.

Maana wanawake wengi hamna kitu ni dhaifu mno hasa wakipenda.
 
Hahaha kweli mini hapa

Ndio hivo mkuu uyo binti kashakuwa kipofu maana kapenda.

Na naamini huyo jamaa lazima ale tena mzigo.

Maana wanawake wakipenda mpaka akili zinawatoka.

Acha tuu aliwe maana hakuna namna lazma jamaa atumbue tena hilo tunda.
 
Wanawake wengi wanakuwa na upeo wa kutambua hapa unadanganywa hapa ni sahihi shida ni kwamba mnapingana na ukweli huo......... Mimi nakushauri wewe mleta Uzi mwache huyo rafiki yako aamue mwenyewe lipi jema kwake..
 
Wanaume n very clever sn ktk kucheza n hisia z wanawake.mwanamke n rahis sn kutekw kimapenz ila mwanaume INFACT huwa anacheza na feeling z manzi hana penz l kwel ht tone ni tamaa tu.wanawake achen kujisahau sn ktk mapenz usikurupuke kwmb nikimkosa huyu ctapata mwngne.muwe inqusitive kbl y kufall in lov.kile kitendo chenu cha huruma ndo kinawacost n kujitoa wote kw mwanaume kwmb nisiposhow lov jamaa atabadil gia angan
 
Mie ndo nashangaaa kikongwe kama huyu bado anang'aa sharubu mpaka leo.

Miaka 38 siyo mingi kwa mwanaume lakini kwa mwanamke ndiyo ingekuwa issue.

Ama vya kung'aa sharubu .... mmmh labda za simba lakini za kwake zitakuwa zimeanza kutoa mvi.
 
Back
Top Bottom