Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Wadau,

Vipi nimempost ex wangu nliekuwa nampenda sana, kaniacha tokaa 2014 ila mimi mpaka leo nimeshakua na madem kadhaa ila bado ule upendo wa kweli upo kwake na siwezi kumpata tena na sjui kwanini nasikia raha nikiremind those happy moments ambazo tulikua pamojanau najikuta nasikiliza wimbo m1 tu siku nzima unaonikumbushaa kuhusu yeye.

Na hapo najikuta nazidi kumpenda, japo hawezi kuwa wangu tena, naeza mpotezea hata 4 months ila najikuta namkumbukaa tena ila sasa nimeamua kuchukua uamuzi huu kwamba nitampenda lakini sitataka awe mpenzi wangu na nikijisikia kumpost nitampost kuonesha upendo wangu japo sitataka tuwe wapenzi tena ili tu niridhishe nafsi yangu na nafsi yangu isikie raaha.

Sasa wataalam wa haya mambo nishaurini je nipo sawa au nakosea, am 21 na ndo nataka nianze kujenga life imara, i need positive feedbacks ma people.

Nawasilisha

TheMason-Engineer!
Fanya maisha mkuu,watajileta wenyewe tu
 
Duuh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom