Ushauri: Kama mumeo "ha-cheat" ni bora unyamaze kimya na umshukuru Mungu..

Kwahiyo wewe ndio unajua sio? !
Sijivuni ila ktk hili najua kwa kiasi chake,nayajua madhara ya kumkosa heshima mke wangu,Muumba wangu na pia mwili wangu na familia yangu kwa ujumla.tukubali tukatae mkuu,ukitaka dunia hii uishi vizuri nenda straight ktk maamuzi yako yoyote unayojichukulia.

Umeamua kuowa owa lea familia,umri haujafika basi tulia fanya mambo yako ila unapoingia ktk kitu kinachoitwa ndoa basi ujue ktk akili yako yote kwamba maamuzi hayo utayatumikia kwa akili zako zote na kwa nidham zako zote ili uweze kujenga kizazi chenye afya ya kuitwa familia iliyokamilika
 
Sawa mchungaji
Hili povu lete huku basi Ushauri: Dada zetu wakilokole legezeni masharti muolewe. ..
 
Labda Kama atakua mlokole
Wa sakina

mkuu kasome vitabu vya mfalme daudi pamoja na mfalme suleimani hawa wote watumishi lakini wote walikuwa na michepuko ya kufa mtu

Funny enough wanaohalalisha ni wanawake wenyewe

Hiri ridada reo rimenikosha wajameni hebu muhudumu aripe maji nusu rita ya uhai..... ova

Bongo muvi kumbe...!!

Hivi mnavyohalalisha kutoka nje kwa hao wanaume ndo kusema mmekubaliana na hali au?? Kwa nini uweke hyo akilini kuwa nwanaume lazima atoke nje ya ndoa?? Ndio hata kama wanatoka sio ndo tiketi ya kuwapa uhuru ki hivyo kuna siku utageuka kwa wanawake sasa waanze na wao kujisifia kuwa bila mchepuko ndoa hainogi kutakua na maisha ya ndoa hapo?? Jamani ndoa na Iheshimiwe hakuna kuchepuka kama bado una hamu ya kuchepuka usioe au usiolewe kwanza otherwise ukishaingia kwenye ndoa suala la kuhalalisha uchepukaji ni big Noo

She's entertaining...

usiwe na jabza......

Haa haa nabii Tito nae n mlokole
Sasa Yule N kama alitumwa na
Lucifa

Af videm vyao vna mashart kama
Vnajioa vyenyewe

Ushimen

Nalendwa Mje huku Ushauri: Dada zetu wakilokole legezeni masharti muolewe. ..
 
Back
Top Bottom