Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.

Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Mlivyo na akili ndogo, hamuwezi kamwe kutambua ya kuwa Lissu siyo mtu jamii ya Mbowe! Lissu ni mtetezi wa haki. Kwa hiyo msifikiri hata mkimfunga gerezani, siku akitoka ataacha kupigania hakia za wananchi! Mapambano yako pale mpaka mnyooke.
 
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.

Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Hakuna mtu anawaogopa tena. Kama mlipiga hadi risasi, itakuwa hiyo mikwara mbuzi ya mahakama kibogoyo?
 
Akubali asikilizwe mtandaoni, mbona kule space anaongeaga vizuri, akibisha tunapeleka huu mzigo parking pale mwembeni
Space na mahakama ni field mbili tofauti. This time sheria iko upande wake, na ana haki. Mtaamua nyie ku comply or not
 
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.

Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa

Hawa ndugu:

Go1AooyWkAAXLJB.jpeg

Ushauri wauokote wapi?
 
Kuna watu wanatapika matap tapu yao leo humu... siku wakiwa lock up, watajua raha na karaha za kuwemo humo mahabusu... sijui ni nini, kwa nini mtu ufurahie hata kwa sekunde moja binadamu mwenzake anapoteseka au kupitia hali ngumu ya mateso? Haya ni Matemdo ya Sadist- Period
 
Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa.

Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
Mshajipakaza kinyesi kwa sasa hakuna namna yakujinasua nendeni kwenye uchaguzi TAL akiwa ndani inakula kwenu na mkimtoa pia mkifuta Kesi inakula kwenu yani TAL ni cross dongo ukigusa imoooo na ukiiacha imooo pia
 
Back
Top Bottom